TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Dah mungu amempenda zaidi pole kwa familia ya mzee mgimwa na watanzania wote aliowatumikia kwa kipindi cha uhai wake
 
so sad.....hivi alkuwa Waziri wa?.....
Nakumbuka matamko yake ya kupinga Nikataba ya siri pia kupinga wachina kuja kufanya biashara kariakoo na mitaji la Million kumi

Kama ni hivyo basi nakamilisha kusema kuwa kuna mkono wa mtu...RIP Mgimwa,

Na yule tajiri na mfadhili wa CCM alikwenda Sauzi kwa matibabu ya Tindikali anaendeleaje jamani au tutoe RIP kwake pia?
 
Mbona katika TV hatuoni hata Breakin newz? kama ni kweli R.I.P na tunasema kufa kufaana
 
Mungu akulaze mahali pema peponi..... Poleni watz.....poleni familia....tutakumbuka
 
Rip dr.tutamkumbuka kwa kusimamia sera za hovyo za mk.we.re.

ccm oyee
 
mbona atuoni hii habari kwenye media.
 
Huyu mzee wamemuuwa sana hapa JF,safari hii sijui ni kweli?
 
Kila nafsi itaonja mauti...ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom