Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee kama kweli poleni
...ni kweli mkuu,kafariki asubuhi ya leo...
kafariki wapi na alikua anaumwa nini na kwanini tukuamini maana tumechoshwa na tetesi!
Apepe Mgimwa.
...ingekuwa tetesi ningeandika tetesi,cha msingi tuwaombee faraja wafiwa...
RIP mzee wetu...kustaafu utumishi wa umma kisha kuingia kwenye siasa sidhani kama ni chaguo zuri hata kidogo kwa siasa hizi za kibongo bongo...Mods msihangaike kufunga taarifa za msiba wa mzee mgimwa(waziri). Its true amefariki. Nimepata habari toka very reliable source. Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina lake libarikiwe..