Dah! RIP.. mbona ghafla. ni ajali, alipanda bodaboda? mbona hatujasikia kuwa mara alienda sauzi au India? Anyway msalimie mandela mwambie kinana kwa kushirikiana na wachina wanetumalizia tembo wetu!
Tetesi zilizopo ni kwamba Mgimwa alipandwa na presha baada ya ------ kutumia fedha zote Hazina na vi note... vyake... mpaka hali ya kifedha wizarani ni mbaya... mwenye ukweli zaidi tafadhali atujulishe nini chanzo cha ugonjwa na Mauti ya Mgimwa
Kibo255 huenda ameandika kwa kutumia simu ya mkononi ambapo P na R ziko katika button namba 7. Kama sivyo basi P.I.P. alimaanisha Pumzika In Peace. Pole sana wafiwa wote, Taifa limempoteza mtumishi aliyejitoa kwa ajili ya nchi yake. R.I.P. Dr. Mgimwa.