TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Raha ya milele umpe ee Bwana; na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amina!
 
Polen sana kwa msiba "God has chosen has best flower in his garden"
 
We heard this b4, why somebody sent thread like this a week ago. Halafu kumuandika tena sio vizuri tuwe waungwana kuna mengine sio ya utani eti
 
Doh! Tuko JK huku msata mazikoni, akitoka hap huyo anakwenda kujianda kwenda iringa mazikoni tena, RIP mbunge wetu
 
Doh! Tuko na JK huku msata mazikoni, akitoka hap huyo anakwenda kujianda kwenda iringa mazikoni tena, RIP mbunge wetu
 
Pole Sana wafiwa, RIP. True I enigma huyu innocent man! Who was working under the environment asiyoijua Na alikuwa anafanya kazi kwa uaminifu Na juhudi,

Usurious ni kuwa Mungu mweyezi anaangalia Moyo wako Na aonavyo yeye sio Kama sisi wanadamu tuonavyo

ni kweli mkuu, alikuwa akifanya kazi na mtandao asioujua kumbe wenzake wanamalengo ya kufisadi nchi yeye alikuwa akiwatumikia watanzania, walipoona hafuati yale watakayo wakaamua wawezavyo. R. I. P Dr mgimwa
the day like today i wished you a happy new year and you replied me, today i wish your soul to rest in peace and you can't reply me any more.
If God is concerned with this death then jina la bwana lihimidiwe lakini kama vinginevyo tunaomba Mungu uwarehemu waliohusika. Msiba mkubwa sana jimboni kwangu. Poleni wanakalenga
 
RIP Mgimwa,bwana ametoa,bwana atwaa,jina lake lihimidiwe
 
Back
Top Bottom