TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

MWENYEZI MUNGU aiweke ROHO YAKE MAHALI INAPOSTAHILI .
 
Kama alihusika kubuni Mradi wa EFD machine za TRA, itakuwa Mungu imesikia kilio cha wafanyabiashara tusio na mitaji mkubwa tuaolazimshwa kununa EFD.

Wewe mtu unayejiita Ndyali una roho mbaya na sijui sura yako inafananaje? Huoni hata aibu?? Nahisi wewe ni muuaji. Mungu akurehemu maana biblia inasema lieni na wanaolia kwa hiyo umefurahi kwa Mgimwa kufa??? tembea nchi za watu uone hata ukinunua pipi lazima upewe receipt. Wewe ni mjinga ukifunzwa nahisi utaelewa.
 
Bango tumezidi jamani, eti huku mtaami wanabishana wanasema aliekufa ni mizengo pinda..dah wameniacha hoi
 

Is it a joke? Dr Msigwa?!!!
 
Ni Msigwa au Mgimwa au wana undugu
 
R.I.P Mgimwa tulikupenda lakini Mungu amekupeda zaidi. lakini tusishangae sana wote safali yetu moja chamsingi ni utakapokufa umejiandaa kwenda Peponi au Jehanamu?
 
Haisaidii kwani hata kama amefariki, mashine zile zitaendelea kusisitizwa kutumika kwani ndo mfumo wa kisasa wa mataifa mengi katika kukusanya kodi! Poleni wafiwa. Jipeni moyo!

Nani kakwambi kuwa nchi zingine wanapigishwa cha juu kama maccm wanavyotufanyia?
 
Ni mpango wa Mungu kutuondolea Mafisadi!aliwasilisha bajeti kwa mbwembwe huku akijua ni maumivu kwa wananchi.
Ee Mungu endelea kutuondolea majanga,mafisadi,mafedhuli na madhulumati ya ccm.

"weka unafiki pembeni toa yaliyo moyoni''
 
Ni mpango wa Mungu kutuondolea Mafisadi!aliwasilisha bajeti kwa mbwembwe huku akijua ni maumivu kwa wananchi.
Ee Mungu endelea kutuondolea majanga,mafisadi,mafedhuli na madhulumati ya ccm.

"weka unafiki pembeni toa yaliyo moyoni''

Mkuu Meningits, ukatili wa sirikali ya maccm imetuondolea utu tulioachiwa RIP Baba wa taifa Mwalim NYERERE.
 

na mwanga wa milele umwangazie eeh Bwana! Apumzike kwa amani
 

Inguluvi nyamalanga, yayigava vanu yikapoka!
 
Haa..haa..hahahaha...haha..ha ha ha ha..teh teh teh teh....very hapy...
 
Haa..haa..hahahaha...haha..ha ha ha ha..teh teh teh teh....very hapy.....Ina maana alijisahau kutenga bajeti ya kumhonga mtoa roho?...kweli inafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…