TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Nimepokea taarifa ya kusikitisha.

Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii

Poleni sana, Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu, RIP waziri Mgimwa.
 
R.I.P.....
Nakumbuka kumbe kila binadamu ataonja mauti, Haijalishi anategemewa na watu wangapi na wala ana mali kiasi gani....
Tuzidi kumtegemea Mungu na kutenda haki siku zote kwa kila anaestahili
 
Msiba mkubwa kwa taifa na watu wa Kalenga kwa ujumla

R.I.P mbunge wangu
 
R.I.P-mwenyewe.(UWE unaona AIBU kukimbilia kutangaza vifo VYA WATU,Kama unaona raha tangaza KIFO CHA WAZAZI WAKO NA wanao-shame on you.
 
Pole Sana wafiwa, RIP. True I enigma huyu innocent man! Who was working under the environment asiyoijua Na alikuwa anafanya kazi kwa uaminifu Na juhudi,

Usurious ni kuwa Mungu mweyezi anaangalia Moyo wako Na aonavyo yeye sio Kama sisi wanadamu tuonavyo
 
Back
Top Bottom