TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

JK ana wakati mgumu,Dr William upumzike panapostahili
 
mbona huu uzushi tumeuona sana humu jamvini mnataka leo tuamini tupeni evidence za kutosha.

si uka k o joe ulale... Hulazimishwi amini.

RIP DR.
 
Mungu ailaze pema peponi roho ya Marehemu.Bwana alitoa na Bwana ametwaa,Jina la Mungu lihimidiwe.
 
nashukuru kwa taarifa lakini ni vizuri taarifa kama hii kutaja chanzo cha habari,kama kweri hii ni golden chance nyingine kwahiyo kutakuwa na nafasi tano za wazi za mawaziri,pole wanafamilia
 
Kwa mujibu wa katibu mkuu kiongoz Dr. Omben Sefue, aliyekuwa waziri wetu wa fedha William Mugimwa amefariki Leo Tar. 01/01/2014 majira ya saa 05:20 adhuhuri huko Afrika Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu.


Dr. Sefue hakufafanua zaidi juu ya ugonjwa uliopelekea mauti ya Waziri Mugimwa.



Mungu Ailaze RohoYa Marehemu Mahali Atakapoona Panafaa Ameni.



Source:ITV na Redio One Sterio.
 
Inguluvi ikutange Mnyalukolo...mvaha vangu,kuna munu akatigile vakusopye va mbeva,umulomo huu nene...Alee gendelage uludodifu,ulukafu luladenyeka...Vahungilage va maseto, mng'anzagala,mahuvi,mhafiwa,va sengelingosi...mbevalii....longolage myaaa

Ndo lugha hiyo ? Unadhani Jf wote wanaifahamu lugha hiyo?
 
Duh! mwaka umeanza vibaya serikalini lol! RIP Mgimwa
MGIMWA AFARIKI: Waziri wa
Fedha William Mgimwa amefariki leo saa 6.20 mchana Mediclinic Kloff,
Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa, Ombeni Sefue athibitisha.
 
Rip mgimwa poleni ndugu na familia. Afadhari gamba moja limepungua pole sisiem mungu anasaidia kupunguza idadi.
 
Kama ni kweli.

So sad.Mwenyezi Mungu ampe pumziko panapomstahili.

Rai yangu tu,Hazina wasitumie msiba huu kuhujumu taifa.Naishia hapa

Ukizingatia watu bado wana kumbukumbu ya jinsi msiba wa Mandela ulivyoendeshwa! (hazina wawe wazalendo)
Mungu awape faraja wafiwa na nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom