TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Jamani hivi JK alivyoenda SA Kwenye msiba wa Mandela alimtembelea Marehemu Mgimwa Hospitali???
 
R.i.p dk tutakukumbuka kwa kauli yako ile ya bado tunakopesheka.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Sijui ni nani atachukua hiyo wizara ya ngawira, kuna tetesi Membe atakuwa Waziri Mkuu kama hili kweli litatokea basi anaweza kujiweka kwenye nafasi nzuri kuelekea 2015 katika miezi hii 22 iliyobaki kama utendaji wake utakuwa mzuri na hivyo kuibuka kama mgombea wa CCM.
 
Kama alihusika kubuni Mradi wa EFD machine za TRA, itakuwa Mungu imesikia kilio cha wafanyabiashara tusio na mitaji mkubwa tuaolazimshwa kununa EFD.
Haisaidii kwani hata kama amefariki, mashine zile zitaendelea kusisitizwa kutumika kwani ndo mfumo wa kisasa wa mataifa mengi katika kukusanya kodi! Poleni wafiwa. Jipeni moyo!
 
sasa utaona watu watakwenda kuuchukua mwili lkn watakuja nao baada ya siku sita.hapa ktkt wanakula night za serikali.
 
Father Dr Mgimwa R.I.P
 

Attachments

  • Dk.-William-Mgimwa-Kalenga.jpg
    Dk.-William-Mgimwa-Kalenga.jpg
    44.7 KB · Views: 190
Back
Top Bottom