TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Hii Imethibitishwa? Isije Ikawa Kama Zile Post Tatu Ambazo Modes Waliona Ni Wagagagigikoko Waka Zi Burn
 
Ilikua lazima,kesi kama ya Balali

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa heri Dr Mgimwa.Poleni sana wafiwa,ndugu na jamaa wa marehemu...
 
RIP Dr. Mgimwa. Kila nafsi itauonja u mauti!
 
Sikupata kujua kuna watu wanachuki kiasi hiki

Hata Mimi sikujua kama kuna watu viongozi mafisadi na Bado hawaridhiki wanaongeza tabu na ugumu zaidi kwa raia hasa wanapoongeza bei umeme kujinunulia ma vx pamoja na kulipana posho na mishahara ya kufuru.. hii ni zaidi ya chuki na roho mbaya Hasa kwa raia asiejua mlo wake wa siku utakuwaje happy new year
 
Pole sana kwa huyu mzee....hakujua....zile memo zote...maskini....
 
MKUU kama darasa halijakupa akili hata akili ya maisha ya kawaida ya kuishi na watu nayo huna???
Pole ndugu!

Wakati mwingine akili ya kuishi na watu inakulazimu uwe mnafiki, unafiki siyo mzuri.... wangapi wanakufa kwa kukosa panadol na hatutangaziwi misiba yao?

Poleni wafiwa.
 
Poleni ndugu na marafiki. RIP DR. Mgimwa!
 
Imethibitishwa Dr. William Mgimwa kafariki dunia.
R.I.P Hon
Source: Channel ten
 
Back
Top Bottom