TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

Nimepokea taarifa ya kusikitisha.

Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii

Viongozi wa nchi hii wanafia nje ya nchi tu wanakokimbilia matibabu bora ,tunakushukuru Mungu ukiamua hata wakienda kutibiwa mwezini watakufa tu kama sisi masikini tunaofariki kwa kukosa vidonge vya malaria..Aende kwa amani.
 
Nimegundua hata rais kj wa tz akifa, kuna watu watauliza alikuwa rais wa wapi na wa awamu ya ngapi???**
Kweli this is tz.
 
sindano butu linapokuja kifo tunaweka siasa za chuki pembeni mi mwenyewe nilikuwa nampinga hata zaidi yako lakini kifo ni kitu kingine kumpoteza msomi mmoja ni hasara kwa taifa.rip mgimwa

Tatizo sio kuwa msomi tatizo lipo ni kwa jinsi gani anautumia usomi huo katika kuihudumia jamii hasa hii ya Watanzania masikini ambao ni wengi.

Aende kwa amani.
 
Ccm inapungukiwa kwa kasi. Sasa nadhan hawawazi sana kifo cha Mgimwa bali wanawaza jimbo kuchukuliwa au la.
 
Ccm inapungukiwa kwa kasi sana. Sasa nadhan hawawazi sana kifo cha Mgimwa bali wanawaza jimbo kuchukuliwa au la.
 
Sijajua pia kunani tanzania. Madaktari wa bandia hawafi lakini wanakufa madaktari wa ukweli waliosoma na kubukua mpaka mwisho.
 
Viongozi wa nchi hii wanafia nje ya nchi tu wanakokimbilia matibabu bora ,tunakushukuru Mungu ukiamua hata wakienda kutibiwa mwezini watakufa tu kama sisi masikini tunaofariki kwa kukosa vidonge vya malaria..Aende kwa amani.

MaCCM acha wafe tu mapumbafu sana na Mizengo wao..
 
sindano butu linapokuja kifo tunaweka siasa za chuki pembeni mi mwenyewe nilikuwa nampinga hata zaidi yako lakini kifo ni kitu kingine kumpoteza msomi mmoja ni hasara kwa taifa.rip mgimwa

Mpumbafu sana na aende Motoni magamba huyoooooo.......
 
Kama alihusika kubuni Mradi wa EFD machine za TRA, itakuwa Mungu imesikia kilio cha wafanyabiashara tusio na mitaji mkubwa tuaolazimshwa kununa EFD.

Si hilo tu, mi nasikitikia jimbo lake maana litaenda Chadema. Sasa kwa nini asingesubiri hadi baada ya uchaguzi wa 2015?
 
Kifo kimesababishwa name non? Kufa kitu cha kawaida na hakuna appeal hapo iwapo Dr. Kathibitisha.

Marehem wilium Mgimwa ni daktari (PhD), amefanya kazi kama mbunge kisha waziri wa fadha, Ni Mnyalukolo mwili wake utasafirishwa na serikali kurudi home (unyaluni???). KUMBUKUMBU: Marehemu Balali pia ni daktari (PhD), alifanya kazi umoja wa mataifa kisha wizara ya fedha kama gavana, ni mnyalukolo, mwili wake haukurudi. hii serikali ina double standard eee!!!!:drama:
 
Back
Top Bottom