TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

polen sana tumwombee mwenyez mungu ailaze roho yake mahala pema pepon Amin
 
Poleni saaaana kwa kupoteza mjomba, hii inatushitua tujiandae ili shaetani anapopata furusa ya kutekeleza wajibu wake tuwe tayari (Bwana alitoa Bwana ametoa)
 
Poleni saaaana kwa kupoteza mjomba, hii inatushitua tujiandae ili shaetani anapopata furusa ya kutekeleza wajibu wake tuwe tayari (Bwana alitoa Bwana ametwa)
 
sindano butu linapokuja kifo tunaweka siasa za chuki pembeni mi mwenyewe nilikuwa nampinga hata zaidi yako lakini kifo ni kitu kingine kumpoteza msomi mmoja ni hasara kwa taifa.rip mgimwa
 
Back
Top Bottom