Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

Waca waniletee mimi niwasaidie kuzitakatisha, wakenya ibeni tu huko mzilete Tanzania kuliko kuzipeleka mbali Ulaya.
 
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Mwamposa yupo kimkakati zaidi na yule mwenzake wa pale Kimara Temboni, in short zinapitishwa makanisani kuchangia harambee badae pigwa pasu
 
Jifunze kujenga hoja huru, badala ya kuniletea ujuaji wako wa kidwanzi.
 
Wakenya, Waganda, Congo, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Mumbiji, Zimbabwe. Zileteni tu, wala msiwe na shaka tena sasa hivi tunanunuwa majengo manne matano ya Kariako tunafanya moja la kisasa.
Nitafuteni, niwasaidie kuwawekea hizo pesa na kuwardishia Kenya kila mnapohitaji na nyingine tunawekeza hapa TZ tunagawana faida, mimi yangu ndogo tu.
 
Wewe Bibi huko shule ulifundishwa ujinga?
Wewe unafikri uwekezaji wote unaofanyika TanZania, Wakenya hakuna?
Mahindi yako, mananasi yako, ng'ombe zako za Tanzania unafikiri eanunuzi wakubwa ni kina nani kama si Wakenya?

Ulifikiri mpaka Bashe awaambie wakija kununuwa wajindikishe ilikuwa ni kwanini?

Walikuwa wanatakatisha boila Watanzania kufaidika, sasa tufaidike.Na bado wanatakatisha nyingo sana. Wanaleta pesa za Kenya wanarudi kwao na hiliki, machungwa, mananasi, mahindi, sasa wamevamia na kariakoo.

Unafikiri hizo pesa zote wanapitisha kisheria, zinakuja na boda boda tu.

Maduka mengi ya kriakoo ni ya wakenya, kimya kimya. kama ulikuwa huelewi.
 
Usipoteze Muda bwashee hata Osama angependa zama zile angewekeza tu Tanzania 😄
 
Awamu ya sita Nchi imeharibika sana.pesa haramu zinakuja kutakatishwa mabilioni na mabilioni.
 
Tz ni hovyo sana!
 
Huyu Waziri ni Kibwengo tu anapaswa kusema Kenya na Tanzania ni majirani pacha Kila kinachofanyika huku na kule hivyo hivyo, finance Ina reciprocal friendships globally
 
Kwa vile wewe ni mkongwe unaweza nielewa. Naona kibao kinageuka, wakati ukuta. Enzi za Nyerere waliokuwa wanaiba pesa hapa Tanzania walikuwa wanahamishia Kenya.
 
Usipoteze Muda bwashee hata Osama angependa zama zile angewekeza tu Tanzania 😄
Binladen wanahisa kwa wanaowekeza Tanzania kama kina Barrick, ile namba nyingine, siyo uwekezaji uchwara wale.

Wakati ule, kampuni yao ya ujenzi, Binladen Organization, ndiyo ilikuwa kampuni kubwa binafsi ya ujenzi, katika dunia.

Unafikiri wenzako wale?
 
Mimi sijaona wapi ameandika wanakuja kutakatisha ( Money Laundering) bali amesema wanakuja kuwekeza ( invest) Kwani mtu akiwekeza mahali na kutengeneza faida ni kosa kurudi kujenga nyumbani?
 
Sasa umepanic nini?!

Bin Laden ni Sawa na Mbowe tu 😂
 
fisadi lenye upara lililotumbuliwa
lenye baba mshenzi kama yeye
aliyesema eti watu wazuri hawafi
lilisema linataka likajenge kenya
kwa pesa za Tz, nilishangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…