Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.