Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

Sisi inatuhusu nini kujua wametoa wapi fedha zao. Cha msingi wanaziwekeza, ajira zinapatikana na Kodi wanalipa. Then faida wakienda kujenga kwao hamna tatizo. Zamani walikuwa wanazipeleka Uswisi kuwekeza.
Maana yake huku wanakuja na pesa chafu na wanapokelewa, hakuna kuulizwa vyanzo vya pesa
 
Usipoteze Muda bwashee hata Osama angependa zama zile angewekeza tu Tanzania 😄
Sielewi maana yako au unalenga nini hapa! Nijuavyo, asingeweza hata kwa dakika moja kuwekeza hapa wakati wa Magufuli.
Sasa eleza ulicho lenga ni nini hasa!
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590


Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Gachagua na chuki zake!, ni ngumu sana upuuzi kama huu kutokea, kwa ujirani uliopo!
Karibuni wakenya muwekeze Tanzania,
Taifa la Kenya ni la pili kwa kuwekeza Tanzania baada ya wingereza!
 
Back
Top Bottom