Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
OhooooShetani hawezi kusikia mambo ya Mungu, hapo umechemsha. Shetani?
Eti hela ya mtu ipelekwe kwenye miradiNi vigumu kunishawishi kuwa evolution ya ubinadamu ya mwendazake ilikuwa imekamilika. Alikuwa na ukatili beyond humanity. Utamwibiaje mstaafu hela yake kwa kisingizio cha kufanya mambo ya hovyo?
@Mwigulu NchembaMhe. Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha lazima ufahamu kuwa wanaostaafu leo ni Kaka zako, Ndugu zako na dada zako pia waliostaafu siku nyingi wengine ni Baba zako wadogo na ndugu wa damu.
Nikushauri tu, achia pesa watu walipwe, miradi ina umuhimu pia wastaafu wanahitaji waishi maisha yao.
Hutakuwa na Baraka kwenye kiti hicho endapo utaendelea kutowathamini hao wastaafu na kujua ni haki yao. Kumbuka hao wengi wao ni askari Polisi.