Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Watu wanafikiria uwaziri ni nafasi za shukrani. Hawasomi hata taratibu za nchi zikojeKabla ya kukurupuka mkuu soma katiba au labda katiba itapindishwa tena
Katiba hairusu mtu akiwa CAG...Kushika nafasi yoyote serikali baada kuacha kazi hiyo mkuuKwani katiba inasemaje kuhusu CAG aliyestaafu
Asante mkuu natumai mleta mada atasoma na kuelewaKatiba hairusu mtu akiwa CAG...Kushika nafasi yoyote serikali baada kuacha kazi hiyo mkuu
Katiba hairuhusu CAG aliyeko madarakani ama aliyestaafu kushika wadhifa wowote ule wa utumishi. Means prof Assad hawezi kushika madaraka yyt ndani ya utumishi
Kasome katiba ta jamuhuri ya muungano wa tanzania ibara ya 144 ibara ndogo ya 6 nadhani utapata jibu la hoja yako.Point huyu Asaad arudi Tu hakuna namna. Uadilifu wake ni WA kiwango cha juu.
Hivi lengo lilikuwa ninini hasa? Naona kuna shida mahali. Kwanini Katiba iwa-limit sana ma-CAGs' kuhusu kutoshika madaraka ya Utumishi bada ya kustaafu??Mleta mada inaonekana uelewa wako ni mdogo sana sana!!
Soma katiba ya nchi kuhusu CAG, sio kukurupuka
Ingekuwa ni hivyo udhanivyo basi Ludovick Utoh angekuwa na wadhifa hata wa ubalozi
Siku Chadema ikishika dola ndipo atakuwa waziri wa fedha na mipango! Kwa sasa haiwezekani alinyea kambiIkimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango.
Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea kukumbwa na mizengwe ya wachumia tumbo.
Umri hauwezi kuwa kikwazo sababu tuna Mawaziri wengi wenye umri mkubwa zaidi yake.