Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa

Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.?

Form four felia nchini huwenda ni tatizo kubwa na yawezekana lipo hadi Kwa viongozi wandamizi na mawaizi mbalimbali!

Tunakwenda kukopa ili iwe nini na wakati mapato yanayopatikana ufujaji ni Mkubwa kiasi kwamba mikopo yote mnayoikopa inakuja kugawanwa tu na wapigaji.?

Nchi mnaijaza madeni tu yasiyo na tija yotote!
 
Back
Top Bottom