Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.

The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.

According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also served as an operative in Hamas's manufacturing division.

The IDF says the manufacturing division works to "increase Hamas's weapons capabilities, including by exchanging information with other terror organizations across the Middle East."

Al-Zari'i, according to the IDF, played a "significant role in directing Hamas' efforts to seize control of humanitarian aid entering the Gaza Strip" as well as manage Hamas-controlled markets.

Additionally, he was responsible for the distribution of fuel, gas, and funds for "terror activities," the military adds.

Umekuwa msemaji wa Hamas au IDF ??
 
Nitawaeleimisha kwasababu kuna tatizo la uelewa na Israel imefanikiwa sana kupumbaza watu
Kila siku jengo likipigwa na raia kufa IDF inasema imeua Viongozi wa Hamas. Kuanzia October hadi leo, hao Hamas walikuwa na viongozi wangapi?! Ni mbinu hizo zinatumika ili kuhalalisha mauaji katika maeneo ya Raia

Nilisema hapo juu. Leo kuna shule imepigwa wameuawa watu 90 na zaidi.
IDF inasema ilikuwa inamtafuta Kamanda wa Hamas. Ndiyo maana niliuliza, hao makamanda hawaishi mieizi 10

Israel inasema shule zimetumika kama vituo vya mawasiliano vya Hamas.
Umoja wa Mataifa unasema hapana ikiwemo EU iliyolaani shambulio hilo.

Lakini pia watu waelewe, minara yote ya mawasiliano ipo chini ya Israel.
Mitaa ya Gaza imezingirwa angani, majini na nchi kavu! mawasiliano gani ?

Kumbukeni Israel ilipiga Al Shifa hospital wakisema ni kituo cha Hamas, hadi leo hawajaweza kutoa ushahidi hata
kipande cha cellphone. MashAmbulizi ya RAIA hasa watoto ni jambo la kusikitisha! hakuna utetezi wa hilo

Hoja yangu ni kwamba msipumbazwe na propaganda, tafuteni habari kwa weledi
 
Israel wanajua kumaliza tatizo ni kupambana na viongozi wakiisha hawa wako kuwadhibiti ni rahisi sana bila kumua kiongozi haujafanya lolote
 
Magaidi ni watu wa aina gani? Nani anatoa hadhi ya ugaidi na nani anaiondoa?
Ugaidi kwa maana nyepesi ni kitendo kinacholenga kusababisha hofu kwa raia, serikali au jamii ya kimataifa na vyombo vyake.
Sheria yakudhibiti na kupambana na ugaidi Tanzania imetoa maana pana ya ugaidi katika kifungu cha nne.

Kosa la ugaidi linajumuisha watendaji, wasaidizi na wadhamini wanaosaidia magaidi. Kifungu cha 4 mpaka 10 vinachambua kwa undani mambo yanayopelekea jinai ya ugaidi.

Baadhi ya mambo yanayoweza kuangukia katika ugaidi ni kama ifuatavyo;

I. Kufanya kitendo au shambulio linaloweza kuleta uharibifu mkubwa kwa nchi au taasisi za kimataifa

II. Kwa kutumia nguvu kuilazimisha serikali kufanya Jambo fulani kwa nguvu bila matakwa ya serikali yenyewe

III. Kutumia silaha au milipuko kwa lenga la kutisha umma wa watanzania.

IV. Kuteka viongozi wakuu wa kiserikali kwa shinikizo fulani

V. Kula njama, kusaidia, kuwezesha magaidi kufanya ugaidi.

VII. Kumiliki vifaa au dhana, namba, michoro au ramani ya eneo lililolindwa na kutumia vifaa hivyo kwa lengo la ugaidi etc
 
Nilisema hapo juu. Leo kuna shule imepigwa wameuawa watu 90 na zaidi.
IDF inasema ilikuwa inamtafuta Kamanda wa Hamas. Ndiyo maana niliuliza, hao makamanda hawaishi mieizi 10

Israel inasema shule zimetumika kama vituo vya mawasiliano vya Hamas.
Umoja wa Mataifa unasema hapana ikiwemo EU iliyolaani shambulio hilo.

Lakini pia watu waelewe, minara yote ya mawasiliano ipo chini ya Israel.
Mitaa ya Gaza imezingirwa angani, majini na nchi kavu! mawasiliano gani ?

Kumbukeni Israel ilipiga Al Shifa hospital wakisema ni kituo cha Hamas, hadi leo hawajaweza kutoa ushahidi hata
kipande cha cellphone. MashAmbulizi ya RAIA hasa watoto ni jambo la kusikitisha! hakuna utetezi wa hilo

Hoja yangu ni kwamba msipumbazwe na propaganda, tafuteni habari kwa weledi
Magaidi wa Hamas wanajificha kwenye shule na hospitali lazima wapigiwe huko huko.
 
Ugaidi kwa maana nyepesi ni kitendo kinacholenga kusababisha hofu kwa raia, serikali au jamii ya kimataifa na vyombo vyake.
Sheria yakudhibiti na kupambana na ugaidi Tanzania imetoa maana pana ya ugaidi katika kifungu cha nne.

Kosa la ugaidi linajumuisha watendaji, wasaidizi na wadhamini wanaosaidia magaidi. Kifungu cha 4 mpaka 10 vinachambua kwa undani mambo yanayopelekea jinai ya ugaidi.

Baadhi ya mambo yanayoweza kuangukia katika ugaidi ni kama ifuatavyo;

I. Kufanya kitendo au shambulio linaloweza kuleta uharibifu mkubwa kwa nchi au taasisi za kimataifa

II. Kwa kutumia nguvu kuilazimisha serikali kufanya Jambo fulani kwa nguvu bila matakwa ya serikali yenyewe

III. Kutumia silaha au milipuko kwa lenga la kutisha umma wa watanzania.

IV. Kuteka viongozi wakuu wa kiserikali kwa shinikizo fulani

V. Kula njama, kusaidia, kuwezesha magaidi kufanya ugaidi.

VII. Kumiliki vifaa au dhana, namba, michoro au ramani ya eneo lililolindwa na kutumia vifaa hivyo kwa lengo la ugaidi etc

Sawa kabisa! hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya Ugaidi ya Tanzania. Je tunaweza kutumia vigezo hivyo kwa taasisi au nchi nyingine?
 
Magaidi wa Hamas wanajificha kwenye shule na hospitali lazima wapigiwe huko huko.
Shule hizo zipo chini ya UN. Na UN wanasema hakuna Hamas!
EU wanalaani shambuli la 7 katika wiki moja ndani ya shule. Ikiwa kuna magaidi na wao wamezingira gaza angani ,majini na nchi kavu kwanini wasiondoe Raia wanasubiri kupiga usiku!

Al Shifa Hospital ilipigwa na kuua watu 500. Kuna ushahidi gani wa Hamas au mawasiliano waliyosema Israel?

Tangu vita ianze, taja Hospitali moja tu au shule moja tu iliyobainika kuficha Hamas

Hoja yangu ipo pale pale, kuna tatizo la watu kumeza propaganda tu! hasa vijana wa Tanzania. si Kenya au Zimbabwe maana ukiwasikia au kuwasoma katika forum zao utabaini kwanini vijana wetu hawawezi ku 'compete' nje ya Tanzania.
 
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.

The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.

According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also served as an operative in Hamas's manufacturing division.

The IDF says the manufacturing division works to "increase Hamas's weapons capabilities, including by exchanging information with other terror organizations across the Middle East."

Al-Zari'i, according to the IDF, played a "significant role in directing Hamas' efforts to seize control of humanitarian aid entering the Gaza Strip" as well as manage Hamas-controlled markets.

Additionally, he was responsible for the distribution of fuel, gas, and funds for "terror activities," the military adds.
Apewe 72 wake amepa, aanze show.
 
Hongera sana kwa jeshi la kitaalam kuwasaka na kuwaua viongozi wa magaidi. Lazma walipe kwa waliyoyafanya 7 October, 2023 hadi kuua watanzania wasiokuwa na silaha mchana kweupe kama wanyama.
Mimi Bado siwapi hongera,

Mimi nataka wamwage tindikali au sumu safe vizazi vyote vya hapo Ili majni mapya yachipue
 
Back
Top Bottom