Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Magaidi yana sifa kama za hayo makundi niliyoyataja.
Ndiyo maana sitaacha kutoa hiii elimu. Umeulizwa hivi, sifa za ugaidi ni zipi? Hujaulizwa makundi ya ugaidi.
Orodhesha sifa za mtu au taasisi ya kigaidi
Orodhesha nani anatoa hadhi ya ugaidi
Nani anaondoa hadhi ya ugaidi

Kuelewa swali ni muhimu sana kuliko jibu
 
Kwani wewe hujui matendo ya kigaidi ya Isis, alqaeda, bokoharam, Islamic jihad, Hamas nk.
Umezaliwa leo?
 
Kama yana şifa kama alqaeda, Isis, alshabaab basi ni makundi ya kigaidi
Nadhani huna jibu la nani ni gaidi kwa maana ya ugaidi unatafsiriwaje. Niishie hapo, lakini nitaendelea kutoa elimu

Watu wasimeze tu vitu bila kujua maana wala wasishabikie. Ikiwa PLO ni magaidi , Nyerere aliunga mkono ugaidi!
 
Kama PLO ilikua inafanya matendo ya kigaidi kama Hamas, basi nyerere aliunga mkono magaidi
 
Kwani wewe hujui matendo ya kigaidi ya Isis, alqaeda, bokoharam, Islamic jihad, Hamas nk.
Umezaliwa leo?
Hapana , matendo hayatoi definition. Kinachoanza ni definition halafu unaoanisha na matendo mwisho una conclude kwamba hapa kuna kundi au hili ni tendo la kigaidi.

Nimekuuliza ANC ya Afrika kusini ni mgaidi? Sinn Fein ni magaidi? Ojuku wa Biafra ni gaidi? Mau Mau ya Kenya ni magaidi?

Shida mnayopata vijana wa kitanzania ni kujadili kitu msichokijua. Kama huwezi ku 'define' ugaidi unawezaje kuzungumzia ugaidi!
 
Kama PLO ilikua inafanya matendo ya kigaidi kama Hamas, basi nyerere aliunga mkono magaidi
Matendo ya kigaidi ni yapi? Ni matendo gani tunayosema haya yana 'qualify' taasisi au nchi kuwa ya kigaidi
 
Hii haina afya Kwa IDF,Sasa watazalisha wahuni wengi wenye siasa Kali za mrengo WA kulia na magaidi watakaojitoa mhanga Kwa ajili ya paletina,huwezi tafuta kutawala watu Kwa kuwaangamiza,Israeli baada kilichotokea German Vita ya pili ya Dunia wangetakiwa kuwa na utu sanaaa Kwa wengine,palestina ipo siku itakuwa huru na Taifa lao litaheshimika ,hakuna haki isiyosumama ...
 
Israel wanajua kumaliza tatizo ni kupambana na viongozi wakiisha hawa wako kuwadhibiti ni rahisi sana bila kumua kiongozi haujafanya lolote
That's obvious. The most effective way to kill a snake ni kubonda bichwa. Bichwa likifa automatically na kiwiliwili chote kinakuwa kumekufa.
 
Mkuu Nguruvi3 kama imekugusa nenda kajiorodheshe ukawatetee hao magaidi. Lakini dawa ya gaidi ni risasi tu. Kwani wao wanapojificha shuleni na hospitalini hawajui kuwa hayo siyo maeneo ya vita??

Ukae shuleni urushe makombora tukuache tu??

Kumchinja ngamia siyo lazima aelekee library, bali huchinjwa kwa kwa namna alivyojielekeza,
 
United Nations kupitia idara hii

Nadhani huna jibu la nani ni gaidi kwa maana ya ugaidi unatafsiriwaje. Niishie hapo, lakini nitaendelea kutoa elimu

Watu wasimeze tu vitu bila kujua maana wala wasishabikie. Ikiwa PLO ni magaidi , Nyerere aliunga mkono ugaidi!
Soma hapa ujieleweshe acha kukariri tafsiri

Kuua viongozi wa HAMAS hakutamaliza huo mgogoro bali wanaendeleza uchuki itayoendeleza vita.
mpewe umeme , maji na huduma nying bado mnawavamia sasa unataka wawape nn kama sio kipondo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…