Mkuu
Nguruvi3 kama imekugusa nenda kajiorodheshe ukawatetee hao magaidi.
Hapana, haijanigusa. Kilichonigusa ni uelewa mdogo wa Vijana wa Tanzania.
Kwa mfano wewe huwezi kueleza ugaidi nini lakini unazungumzia ugaidi tu.
Nimeuliza maana ya ugaidi napewa majina ya makundi yanayoitwa ya kigaidi.
Yes yanaitwa ya kigaidi kwasababu kama Al Qaeda ni magaidi, CIA ya Marekani ni magaidi zaidi kwasababu ndio walianzisha , wakafundisha na kugharamia Al Qaeda
Huwezi kuwa na Hamas kama magaidi ukaacha PLO!
Nyerere alitoa Ofisi za Ubalozi Upanga. Je, Mwalimu aliunga mkono ugaidi!
Nakuuliza swali, nani anatoa hadhi ya ugaidi na nani anaweza kuiondoa.
Lakini dawa ya gaidi ni risasi tu. Kwani wao wanapojificha shuleni na hospitalini hawajui kuwa hayo siyo maeneo ya vita??
Nimekuuliza tangu Oct 7 Onyesha sehemu moja tu ya shule au Hospitali kwenye ushahidi wa Hamas kujificha
Israel haijaweza, labda kuna mwenye maelezo hapa JF kuzidi Israel na wewe unaweza kutusaidia
Ukae shuleni urushe makombora tukuache tu??
Shule gani? Shule zote zipo chini ya UN na EU.
UN na EU wanasema hakuna magaidi. Wewe una ushahidi upi ?
Kumchinja ngamia siyo lazima aelekee library, bali huchinjwa kwa kwa namna alivyojielekeza,
Sijui una maana gani ''library''
Point ninayotaka muipate vijana wa kitanzania, kwanza, ni wavivu wa kusoma.
Pili hamjishughulishi kutafuta maarifa. Tatu mnadhani mnajua kumbe hamjui.
Mnaposimama na Vijana wa Kenya, Uganda , South Africa au Zimbabwe Vijana wa Tanzania ni maboya tu