Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

Wewe ndo mjinga, unaelazimisha double taxation. Wewe unafahamu tafsiri ya neno tozo?? Halafu mbona siku hizi daktari wa uchumi hatuelezi tozo zimekusanywa kiasi gani na zimefanyia nini?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu Sana nyie majitu ya mjini,mumevimbiana matumbo huko basinajua kila sehemu hapa Tanzania ni kama huko kwenu..

Tozo mtalipa na hakuna kitu mtafanya na makelele yenu.
 
Pumbavu Sana nyie majitu ya mjini,mumevimbiana matumbo huko basinajua kila sehemu hapa Tanzania ni kama huko kwenu..

Tozo mtalipa na hakuna kitu mtafanya na makelele yenu.
Nimeandika Uzi sio kwa ajili ya kukarbisha matusi
 
Umeandika ujinga! Nchi hii ilianza kukusanya Kodi na kukopa Kwa zaidi ya miaka 61 ya uhuru. Ilikuwa inazitumiaje Kodi hizo Kama hawakuzifisidi? Yaani unazingumza habari za hospitali, shule, barabara na maji Leo? Hizi kitu zilitakiwa ziwe historia kwani pesa ilikuwepo ya kutosha na kubaki!
Nenda Malaysia, Singapore, Indonesia na nchi tulizopata uhuru pamoja utashangaa walivyo juu kimaendeleo na huduma za jamii! Yaani tz tunajengewa matundu ya choo na wamarekani ilihali mna gesi, madini na rasilimali za Kila aina! Ona aibu kuiba na kupora fedha kidogo za wananchi maskini ili ukajengee choo! Ona aibu na uiambie serikali Yako kuwa hao wezi na mafisadi wameficha kiasi kikubwa mno Cha fedha za nchi wakazichukue huko na waache kuwaonea wananchi!
 
We poyoyo ziwe historia wakati hamtaki kulipa hata Kodi halali mnakwepa?

Kwepeni na kwenye tozo basi.
 
Akil kubwa hii,,,tungekuwa na walau na watu wachache kam wew ccm haiwezi fanya inavyotaka!!!
God bless you 🙌🙌
 
Bora umeona, huyu jamaa ana tatizo la herufi H. Na sio leo tu, huu uandishi wamakosa ndio zake. Kibaya zaidi pamoja na huu uandishi wake wa makosa, ana tabia ya kuwa na post lirefu sana.
Discuss the matter,,,,acha uvivu
 
Akil kubwa hii,,,tungekuwa na walau na watu wachache kam wew ccm haiwezi fanya inavyotaka!!!
God bless you 🙌🙌
Pamoja sana mkuu tuungane wakuu kuikataa ccm kwa nguvu zetu
 
Safi sana hii ndo mijitu tuliyonayi very https://jamii.app/JFUserGuide kweli kweli inafika hatua tunatamani iliwe kiboga tu
Discuss the matter,,,,acha uvivu
 
We want to improve discussion, with poor handwriting how can you discuss matters? Acha kutetea vilaza.
Andika kiswahili boya wewe hivi wajiona umesoma kuandika lugha ya mashoga hao au mwenzako wewe?
 
Bora umeona, huyu jamaa ana tatizo la herufi H. Na sio leo tu, huu uandishi wamakosa ndio zake. Kibaya zaidi pamoja na huu uandishi wake wa makosa, ana tabia ya kuwa na post lirefu sana.
Wewe ni boya ulazimishwi kusoma nyuzi zangu fala wewe kasome mashairi ya babako shamba
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo?kiongozi
 
Pesa za uviko ndiyo zilijenga madarasa. Tozo zimenunua toyota landcruiser vx v8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…