Akizungumza June 17, 2026 jijini Dodoma, Dkt. Homera amesema Serikali inaendelea kuweka kipaumbele katika hatua mbalimbali za kitaasisi ili kuhakikisha masuala hayo yanakamilika kabla ya kuendelea na hatua zinazohusu Katiba Mpya.
Amesema kwa sasa nchi ina Katiba inayotumika, lakini inaweza kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji na matarajio ya Watanzania, huku akisisitiza kuwa mchakato huo utafuata taratibu na maslahi ya taifa.
Pia soma CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu