Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
 
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini.

Akizungumza June 17, 2026 jijini Dodoma, Dkt. Homera amesema Serikali inaendelea kuweka kipaumbele katika hatua mbalimbali za kitaasisi ili kuhakikisha masuala hayo yanakamilika kabla ya kuendelea na hatua zinazohusu Katiba Mpya.

Amesema kwa sasa nchi ina Katiba inayotumika, lakini inaweza kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji na matarajio ya Watanzania, huku akisisitiza kuwa mchakato huo utafuata taratibu na maslahi ya taifa.

Pia soma CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu
Homera Waonyeshe watanzania Mdude mmemzika wapi atleast ndugu zake wajue.
 
Eti maridhiano? Maridhiano kuhusiana na jambo gani? Kama 29 oktoba ilishasemwa awakuua ika wananchi walijiua.

Nchi ngumu hii
 
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini.

Akizungumza June 17, 2026 jijini Dodoma, Dkt. Homera amesema Serikali inaendelea kuweka kipaumbele katika hatua mbalimbali za kitaasisi ili kuhakikisha masuala hayo yanakamilika kabla ya kuendelea na hatua zinazohusu Katiba Mpya.

Amesema kwa sasa nchi ina Katiba inayotumika, lakini inaweza kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji na matarajio ya Watanzania, huku akisisitiza kuwa mchakato huo utafuata taratibu na maslahi ya taifa.

Pia soma CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu
Maridhiano na nani? Kuhusu nini?? Waache pombe na bangi zao
 
No reforms no election na mliichochea wenyewe lisu akitoka anaendelea nayo na itaanzia palepale mbinga
 
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini.

Akizungumza June 17, 2026 jijini Dodoma, Dkt. Homera amesema Serikali inaendelea kuweka kipaumbele katika hatua mbalimbali za kitaasisi ili kuhakikisha masuala hayo yanakamilika kabla ya kuendelea na hatua zinazohusu Katiba Mpya.

Amesema kwa sasa nchi ina Katiba inayotumika, lakini inaweza kufanyiwa marekebisho kulingana na mahitaji na matarajio ya Watanzania, huku akisisitiza kuwa mchakato huo utafuata taratibu na maslahi ya taifa.

Pia soma CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu
Ok
 
Huyo muuaji wa chaula
 
Back
Top Bottom