Yes! Wao wanakula kwa urefu wa kwamba zao. Usitegemee akubali kamba yake ikatike kwa kutetea maslahi ya wastaafu.... kwenye hilo huyo profesa hana msaada wowote; sahau! Hao jamaa ni arrogant sana usitegemee watasikiliza vilio vya tabaka la wavuja jasho as long as wao wana ma-package makubwa makubwa mtajua wenyewe huko.
... sisi wa kamba fupi kazi tunayo.Yes! Wao wanakula kwa urefu wa kwamba zao. Usitegemee akubali kamba yake ikatike kwa kutetea maslahi ya wastaafu.
Naungana na wewe kwa kusema hivi:Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania...
Wanasheria waajiriwa serikalini huwa hawazingatii matakwa ya sheria bali wanazingatia matakwa ya bosi wao.Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania...
Nchi hii imelaaniwa kupitia Wanasiasa.Yes! Wao wanakula kwa urefu wa kwamba zao. Usitegemee akubali kamba yake ikatike kwa kutetea maslahi ya wastaafu.
Tuliopitia huo moto wa tanuru tunajus machungu tuliyoyapata. Kwa mtaji huu hata maprofesa wanajitosa huko ili walau wapate maslahi mazuri wanapomaliza kipindi Chao.Nchi hii imelaaniwa kupitia Wanasiasa.
Mbunge miaka 5 akimaliza/staff Tshs. milioni 300 mafao.
Mtumishi wa Serikali akistaafu miaka 30-40:TShs milioni 80-100 mafao.
Mtumishi wa Shirika la umma akistaafu miaka 30-40: Tshs. Milioni 20-30.
Wote hawa unakuta kiwango cha elimu ni sawa na muda kazini ni sawa!
Double standards za kipuuzi sana!