Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi.hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
Kiafya na kimazingira, nakubaliana na yeyote anayesema kuni ni hatari kuliko sigara.Eti kupikia kuni ni hatari kuliko sigara 😁😁😁
Nadhani ni habari njema sana kwa mtu ambaye umedai hayuko smart, ni kilaza na kichwani hamna kitu, kuutaka Urais, maana ataukosa (kutokana na mapungufu hayo ya kiufundi).Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi.hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
Mule ni kichwa tupu. Anachojua ni kupiga pesa tu.Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi.hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
"Ameamua kuzima umeme ili agawe mitungi"Jamaa umeamua usife na kinyogo 😂😂....Makamba hajawahi kunisawishi hata kidogo ..huenda kwa kuwa sipendi siasa...
Hamna kitu kabisa....ameamua kuzimazima umeme ili agawe mitungi...
Why apromoti Gesi ya Mtwara? Why asaidi TPDC kuwezesha Upatikanaji wa Funds ku malizia mradi wa kusambaza Gesi ya Kupikia katika jiji la Dar es salaam ambao umekwama kutokana na Kukosekana Fundings na mabomba tayari yapo mpaka maeneo ya Meeda Sinza?Kiafya na kimazingira, nakubaliana na yeyote anayesema kuni ni hatari kuliko sigara.
Mtanikumbuka!Makamba ni gwiji wa majungu. Nazikumbuka zile katuni alizokuwa akimchora mwendazake
Shida kubwa Tanzania ina Vilaza wengi kuliko walio smart. So tatizo huwa inaogopesha mgombea Urais anapokuwa kilaza maana ana back up kubwa nyuma yake. Usifanye mchezo na vilaza. Ni kundi kubwa. Wanakuwa hatari zaidi wanapochagua viongoziNadhani ni habari njema sana kwa mtu ambaye umedai hayuko smart, ni kilaza na kichwani hamna kitu, kuutaka Urais, maana ataukosa (kutokana na mapungufu hayo ya kiufundi).
Kwa mtu ambaye hupendi au hupendezewi na hilo unalodai analitaka litokee, unapaswa kuwa ni mtu mwenye furaha sana.