Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.