Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbombo nghafu!Makamba ni gwiji wa majungu. Nazikumbuka zile katuni alizokuwa akimchora mwendazake
Hiyo inakujaje wakati bibi na babu zetu wamepikia kuni hawakua na hiyo gesi na wameishi miaka 90 na zaidi?Kiafya na kimazingira, nakubaliana na yeyote anayesema kuni ni hatari kuliko sigara.
Amekua dalali wa taifa gesiWhy apromoti Gesi ya Mtwara? Why asaidi TPDC kuwezesha Upatikanaji wa Funds ku malizia mradi wa kusambaza Gesi ya Kupikia katika jiji la Dar es salaam ambao umekwama kutokana na Kukosekana Fundings na mabomba tayari yapo mpaka maeneo ya Meeda Sinza?
Anampango gani kama Waziri mwenye Dhamana kuongeza matumizi ya Gesi yetu ili iweze kuongeza pato la taifa na kuwezesha patikana hela za kulipa China waliotupa mkopo na kutujengea Miundo mbinu ya Gesi- maana Deni linaongezeka kila kukicha na marejesho kizungu mkuti
Kwani huyo baba yake mwenyewe kafanya muujiza gani mpaka awe decreed kuwa na miliki ya national cake??Makamba ni moja kati ya mambumbu wakubwa wanaoishi kwa nadharia ya uongo waliojiaminisha wenyewe kuwa ni wateule...
Key word - KuHISIKwani huyo baba yake mwenyewe kafanya muujiza gani mpaka awe decreed kuwa na miliki ya national cake??
Ni jambo tu ambalo lipo kwenye fikra zao ambalo halina uhalisia wowote.
Kwahiyo, (kama ingekua ni kweli) kutokui promote gas ya Mtwara, kutokuiwezesha TPDC (iwasambazie gesi watu wa DSM), kunafanya jitihada za kuwapelekea gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) wakazi wa Manyoni, Kibondo, Tandahimba, Kilosa, Chakechake, Rorya, Pangani na Monduli kuwa ni haramu ?Why apromoti Gesi ya Mtwara? Why asaidi TPDC kuwezesha Upatikanaji wa Funds ku malizia mradi wa kusambaza Gesi ya Kupikia katika jiji la Dar es salaam ambao umekwama kutokana na Kukosekana Fundings na mabomba tayari yapo mpaka maeneo ya Meeda Sinza?
Anampango gani kama Waziri mwenye Dhamana kuongeza matumizi ya Gesi yetu ili iweze kuongeza pato la taifa na kuwezesha patikana hela za kulipa China waliotupa mkopo na kutujengea Miundo mbinu ya Gesi- maana Deni linaongezeka kila kukicha na marejesho kizungu mkuti
Okay nadhani nimekuelewa vizuri baada ya kusema sehemu ambayo tatizo kubwa lilipo.Shida kubwa Tanzania ina Vilaza wengi kuliko walio smart. So tatizo huwa inaogopesha mgombea Urais anapokuwa kilaza maana ana back up kubwa nyuma yake. Usifanye mchezo na vilaza. Ni kundi kubwa. Wanakuwa hatari zaidi wanapochagua viongozi
Kwahiyo kwenye hili la kuhamasisha matumizi ya gesi kwa ajili ya kupikia kosa la waziri (ambaye ni mtoto wa kigogo kama ulivyodai) ni lipi ?Tatizo ni kuwapa nafasi watoto wa vigogo ambao hata wakiboronga kumuwajibisha mbaka babazao waombwe kwanza.
Hakuna kitu kibaya kama kumuongoza mtu ambae anajiamini kwamba hagusiki kirahisi.
Haramu kivipi?? Huko Vijijini Watanzania wanatakiwa wapelekewe systems za kuzalisha Bio Gas inayotokana na mabaki ya vyakula, Shambani n.k. Amewagawia Mitungi sawa je Ges ikiisha wana pesa ya kununua mipya?? Wakati ata elfu Tano za kuchangia watoto wao waliopo mashukeni ni shida kutokana na vipato vyao duni! Wewe mfano kule kijijini Kwenu Mama ako , Wajomba na Shangazi zao wana pesa za kununua mitungi ya Ges anayoisambaza Mweshimiwa??? Yetu macho ila yana Mwisho haya. Watanzania ipo Siku Mungu atawapigania nao watakaa kimiyaKwahiyo, (kama ingekua ni kweli) kutokui promote gas ya Mtwara, kutokuiwezesha TPDC (iwasambazie gesi watu wa DSM), kunafanya jitihada za kuwapelekea gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) wakazi wa Manyoni, Kibondo, Tandahimba, Kilosa, Chakechake, Rorya, Pangani na Monduli kuwa ni haramu ?
Kijijini kwetu tunatumia kuni na mkaa, ambavyo hatuvipati bure. Kwa kuendelea kutumia kuni na mkaa tunamaliza misitu, tukimaliza misitu mvua zinapungua, mvua zikipungua wakazi wa Daslam (na kwingineko) mnatangaziwa mgao wa maji na umeme. Mnaambiwa Kidatu, Mtera na Ruvu chini kina cha maji kimepungua.Haramu kivipi?? Huko Vijijini Watanzania wanatakiwa wapelekewe systems za kuzalisha Bio Gas inayotokana na mabaki ya vyakula, Shambani n.k. Amewagawia Mitungi sawa je Ges ikiisha wana pesa ya kununua mipya?? Wakati ata elfu Tano za kuchangia watoto wao waliopo mashukeni ni shida kutokana na vipato vyao duni! Wewe mfano kule kijijini Kwenu Mama ako , Wajomba na Shangazi zao wana pesa za kununua mitungi ya Ges anayoisambaza Mweshimiwa??? Yetu macho ila yana Mwisho haya. Watanzania ipo Siku Mungu atawapigania nao watakaa kimiya