Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

Huyu mama hajamjua vizuri Mwezimosi na King maker. Sasa hivi wanapigia chapuo Ile Nidhati mbadala ya Kupikia ya king maker. Ndiko akili zote zilipo na ndiyo mdau anamwandalia njia.
 
Usipoteze wakati, Mikamba urais wa taifa hili ataishia kuusikia mbumbuli tu
 
Yaani Makamba hopeless kabisa. Suala la mitungi ya gesi yeye ndo anaona issue kubwa sana kwake.... Mpaka anagawa kwa Wabunge.... Hii ni rushwa ya wazi kabisa.
 
Huyu makamba inawezekana kweli akawa ni presidential material. Kama sivyo mbona hammuachia alapumua ila kila siku mnammulika tu tena kwa ubaya? Sheikh January wewe songa mbele na urais wa 2023 njia nyeupeeeeeee! Wenye wivu wajitundike. Over.
 
Kweli mwaka 2023.nadhani anagombea kwenye familia. Yenu. Vijana kama ninyi ndo aibu ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…