Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

Makamba anataka kuwa Rais wa kusaidiwa na Rostam. Na CCM 2025 watakuja na hoja ya kuwa Samia na yeye apite kwenye mchujo wa wajumbe. Yaani 2025 kuwe na uchanguzi wa ndani hoja ni kuwa Samia Rais lazima apitie kwenye chujio kama ilivyokuwa 2015.Kazi ipo.
Huyu mama hajamjua vizuri Mwezimosi na King maker. Sasa hivi wanapigia chapuo Ile Nidhati mbadala ya Kupikia ya king maker. Ndiko akili zote zilipo na ndiyo mdau anamwandalia njia.
 
Huyu mama hajamjua vizuri Mwezimosi na King maker. Sasa hivi wanapigia chapuo Ile Nidhati mbadala ya Kupikia ya king maker. Ndiko akili zote zilipo na ndiyo mdau anamwandalia njia.
Usipoteze wakati, Mikamba urais wa taifa hili ataishia kuusikia mbumbuli tu
 
Yaani Makamba hopeless kabisa. Suala la mitungi ya gesi yeye ndo anaona issue kubwa sana kwake.... Mpaka anagawa kwa Wabunge.... Hii ni rushwa ya wazi kabisa.
 
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"

Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.

Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
Huyu makamba inawezekana kweli akawa ni presidential material. Kama sivyo mbona hammuachia alapumua ila kila siku mnammulika tu tena kwa ubaya? Sheikh January wewe songa mbele na urais wa 2023 njia nyeupeeeeeee! Wenye wivu wajitundike. Over.
 
Kweli mwaka 2023.nadhani anagombea kwenye familia. Yenu. Vijana kama ninyi ndo aibu ya Taifa
 
Back
Top Bottom