Waziri wa Madini amvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya kwa utoroshaji madini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akifuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu

Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika

Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!
Dah! Pole sana kama una ndoto za 2025. Sisiemu imewekeza vinasaba vya kudumu katika mifumo mikuu ya utendaji wa nchi hii. Endelea kuota labda utachipua na hatimaye utachanua na kutunda mbegu!??
 
Apa watafute ni mbinu gani zinatumika kutorosha maana kutumbua mmoja mmoja bado tatizo halitaisha
 
Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Yaani Madini yanatoroshwa yeye yupo tu ? Alikuwa analinda nini? Natabiri kuwa atatumbuliwa muda sio mrefu ili iwe fundisho kwa wengine
 
Tumekuelewa mwenezi. Leo maandamano gani mitaa!??
 
Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Yaani Madini yanatoroshwa yeye yupo tu ? Alikuwa analinda nini? Natabiri kuwa atatumbuliwa muda sio mrefu ili iwe fundisho kwa wengine
Viongozi Wapo
Hasa RC
 
Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!

😂😂😂😂😂😂

Walianza na sisi nje huku. Sasa mpaka wenyewe lazima wakae kwenye mstari. Kazi wanayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Walianza na sisi nje huku. Sasa mpaka wenyewe lazima wakae kwenye mstari. Kazi wanayo
Kumbe wewe uko nchi gani vile!!?? Nilidhani ni Watanzania; raia walifanya vyema kuwafyekelea mbali kwenye ballot box.
 
No stone will be left unturned

Indeed. Zamani ukiwa mserikali ni untouchable. Shida ilikuwa ni walio huko huko. Sasa JPM anapambana na kila kitu. Hata afanye nani. Ataguswa tu. Hakuna untouchable tena.
Untouchables wamepotea kama msaada bandia wa Lugumi kutoka Posta kwenda Mbweni
 
Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!
😀😀😀😀😀😀😀 hakuna wakumchagua, unakuta tayari 84% ushindi umeshapatikana, hakuna cha kutishana kuwa kura simpigii mwisho wa siku unakuta ushindi tayari. kwahiyo kila mtu atulie kama vile ananyolewa.
 
Indeed. Zamani ukiwa mserikali ni untouchable. Shida ilikuwa ni walio huko huko. Sasa JPM anapambana na kila kitu. Hata afanye nani. Ataguswa tu. Hakuna untouchable tena.
Untouchables wamepotea kama msaada bandia wa Lugumi kutoka Posta kwenda Mbweni
Mungu amlinde rais wetu na awalinde wasaidizi wake wote kwenye hii vita
 
Back
Top Bottom