Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Dah! Pole sana kama una ndoto za 2025. Sisiemu imewekeza vinasaba vya kudumu katika mifumo mikuu ya utendaji wa nchi hii. Endelea kuota labda utachipua na hatimaye utachanua na kutunda mbegu!??Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!
Tumekuelewa mwenezi. Leo maandamano gani mitaa!??Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Yaani Madini yanatoroshwa yeye yupo tu ? Alikuwa analinda nini? Natabiri kuwa atatumbuliwa muda sio mrefu ili iwe fundisho kwa wengine
Viongozi WapoMkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Yaani Madini yanatoroshwa yeye yupo tu ? Alikuwa analinda nini? Natabiri kuwa atatumbuliwa muda sio mrefu ili iwe fundisho kwa wengine
Tamaa tu, kodi gani???Kodi kubwa mno inawafanya watu waone ni heri watoroshe madini.
Kodi ya nyumba. Kwani nasema uongo ndugu zangu?Tamaa tu, kodi gani???
Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!
Kumbe wewe uko nchi gani vile!!?? Nilidhani ni Watanzania; raia walifanya vyema kuwafyekelea mbali kwenye ballot box.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walianza na sisi nje huku. Sasa mpaka wenyewe lazima wakae kwenye mstari. Kazi wanayo
Kumbe wewe uko nchi gani vile!!?? Nilidhani ni Watanzania; raia walifanya vyema kuwafyekelea mbali kwenye ballot box.
No stone will be left unturnedππππππ
Walianza na sisi nje huku. Sasa mpaka wenyewe lazima wakae kwenye mstari. Kazi wanayo
No stone will be left unturned
πππππππ hakuna wakumchagua, unakuta tayari 84% ushindi umeshapatikana, hakuna cha kutishana kuwa kura simpigii mwisho wa siku unakuta ushindi tayari. kwahiyo kila mtu atulie kama vile ananyolewa.Nimeangalia kalenda mara 3, kumbe bado 2020, kufika 2025 sio leo!
Mungu amlinde rais wetu na awalinde wasaidizi wake wote kwenye hii vitaIndeed. Zamani ukiwa mserikali ni untouchable. Shida ilikuwa ni walio huko huko. Sasa JPM anapambana na kila kitu. Hata afanye nani. Ataguswa tu. Hakuna untouchable tena.
Untouchables wamepotea kama msaada bandia wa Lugumi kutoka Posta kwenda Mbweni