Doto Biteko tulisema hawezi hiyo wizara, apewe Naibu wake prof. Manya aliyesoma madini. Hiki kijamaa ni mwalimu kapewa wizara ya madini,kisa ni mpwa wa mwendazake
Hiyo wizara imejaa wajinga,sasa hivi huku mererani kutoka nje ya ukuta ni kudhalilishana tu,mtu anaambiwa ashushe suruali na boxer halafu uchuchumae hapo mnakua watu kumi...then mnaanza kusachiwa hii wizara imejaza wapumbavu tu
Mwezi uliopita alienda Buzwagi, akapiga mkwara, wasipompa ripoti ya jinsi gani watalifukia shimo ndani ya mwezi mmoja, atafungia export permit ya Migodi yao.
Sijajua ka keshapewa ripoti au la.