Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

Nimemfahamu BITEKO kupitia hii wizara.... Niseme wazi ukikaa na huyu jamaa ni zaidi ya ukimskiliza majukwaani.....

Biteko anajua anachokifanya kwenye hiyo sekta na alichokiongea hapo alishawahi kikisema kwenye kikao cha ndani kabisaaa 2018.
Tatizo tu SIO MTANZANIA.
 
Hilo la siyo Raia nakubaliana nawe 100%
 
Halafu imekuwaje hata Confidence yake katika Kuongea aliyokuwa nayo wakati Mjomba wake wa Damu kabisa ( Hayati ) yupo alikuwa nayo ila kwa sasa imepotea, ana Adabu na hata zile Dharau zake za Asili sasa amezipumzisha?

Namshukuru sana Israeli kwa Kutenda.
Atakuwa waziri wa kwanza kutumbuliwa
 
Geti la mirerani watu wanadhalilishwa, wanavuliwa nguo wanafirama. Mambo gani hayo waziri. Ungekuwa wewe ungependa?
 
Alianza Spika wa Bunge Ndugai kuhusu Bandari ya Bagamoyo ambaye kabla ya tarehe 17 Machi, 2021 alikuwa hataki ijengwe ila baada ya tarehe hii husika leo anasema ijengwe.

Ni huyu huyu Waziri wa Madini Biteko alikuwa akiufurahia huu huu Ukali na Ubabe dhidi ya Wadau wa Madini, ila baada ya tarehe 17 Machi, 2021 leo nae kabadilika na Kujifanya ni Muungwana na anaungana na Sisi Watanzania tunaojitambua ( wenye Akili ) tuliokuwa hatuupendi Utendaji wa Mpwa wake ( sasa Marehemu kama si Hayati ) pia.

Hakuna Kitu nakichukia tu kama Unafiki.
Mkuu, kama huyo wa kwanza ni speaker🎧 kwa maana ya spika kabisaaaaa, radio 🎤yenyewe iko somewhere, huyo wa pili naye tumbo mkuu🫖
 
Kama VP alikuwa anawajibu wa kumshauri Mh Rais na kama kweli alikuwa hasikilizwi ange resign
Wakati wewe unasema aresign, kila mtu ana ndoto zake kwenye maisha, kwa mfano angeresign je hiyo nafasi aliyonayo leo angeipata?!
 
Halafu imekuwaje hata Confidence yake katika Kuongea aliyokuwa nayo wakati Mjomba wake wa Damu kabisa ( Hayati ) yupo alikuwa nayo ila kwa sasa imepotea, ana Adabu na hata zile Dharau zake za Asili sasa amezipumzisha?

Namshukuru sana Israeli kwa Kutenda.
Wewe sasa unamsema dotto J
 
Kiukweli magu alikuwa msaada kwenye kujenga barabara alifaa awe waziri tu si kumpa taifa kuongoza alikuwa hana uwezo wa kuongoza taifa
 
Back
Top Bottom