Waziri Wa Majeshi Kule America Akili Zimeisha Mruka

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
11,253
Reaction score
15,070
Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai

Iran kamatilia hapo hapa USA hatarudi tena kucheza na wewe
 
Ameumia sana alipoambiwa ukweli kuwa katumia cheo chake kwa kufahamu mipango ya kivita ya kuipiga Iran yeye akawekeza kwenye viwanda vya zana za kivita ili kujitajirisha.
Sasa alitaka aambiweje?
 
😁😁 Wanajificha kama panya road imfikie Echolima1
Huyo Echolima1 kachanganyikiwa leo kuna habari za uhakika Trump alisema akitoka ruhusa ya weekend na akirudi Jumatatu Iran asipo funguwa Hormuz atapiga visima vyo oil na infrastructure zote za Iran na Iran akamjibu sisi hatukufunga Hormuz ipo wazi lakini ukileta ujinga wako sisi tutaifunga kabisa na tutapiga Energy zote zilizopo Asia sio Gulf states na Israel tu hapo kachanganyikiwa. Trump nasikia anaomba wayamalize chini kwa chini kwa kutumia nchi kama Oman, Egypt, Pakistan na Turkey ili waongee na Iran yaishe si ajabu America atatangaza vita vimeisha bada ya siku hizi mbili kama Iran atakubali.

Israel kusikia vile yeye ndio anajipanga akapige energy infrastructure za Iran ili America abaki kwenye vita anaogopa akibaki peke yake Iran atammaliza kabisa

Kuhusu huyo Echolima1 leo Israel kakiri hawana uwezo wa kuzivunja silaha za Hezbullah afu huyo msafisha vyoo anatuambia wanaimaliza Hezbullah hahaha

View: https://youtu.be/vwx_conK-_I?si=NVIJIZRqByeEUvSx
 
Maneno hayo hata kwenye kanga yapo tu hivyo hatushangai kuona mipasho hiyo!!
 
Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai

Iran kamatilia hapo hapa USA hatarudi tena kucheza na wewe

Kazee nakaonea uruma Umri wake sio wa mikiki mikiki ya kijeshi tena kwa watu wahuni na Jeuri kama Iranian !!!

ukimwangalia tu Trump utagundua kachoka na Vita na kachoka zaidi kupokea taarifa za Vita🤠🤠
 
Leo Iran wameangusha ndege 5 ya kwanza F15E ya pili A10 ya tatu Helicopter black hawk na nne F16 na ya tano drone tena Iran wameichukua nzima kabisa imeangukia kwenye bahari hizi ndio habari za leo
 
Back
Top Bottom