Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Ameumia sana alipoambiwa ukweli kuwa katumia cheo chake kwa kufahamu mipango ya kivita ya kuipiga Iran yeye akawekeza kwenye viwanda vya zana za kivita ili kujitajirisha.Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai
Post from Middle East Eye
US Senator Chris Murphy has suggested that US Defense Secretary Pete Hegseth is firing experienced generals because they are warning "his Iran war plans are ...youtube.com
Iran kamatilia hapo hapa USA hatarudi tena kucheza na wewe
Huyo Echolima1 kachanganyikiwa leo kuna habari za uhakika Trump alisema akitoka ruhusa ya weekend na akirudi Jumatatu Iran asipo funguwa Hormuz atapiga visima vyo oil na infrastructure zote za Iran na Iran akamjibu sisi hatukufunga Hormuz ipo wazi lakini ukileta ujinga wako sisi tutaifunga kabisa na tutapiga Energy zote zilizopo Asia sio Gulf states na Israel tu hapo kachanganyikiwa. Trump nasikia anaomba wayamalize chini kwa chini kwa kutumia nchi kama Oman, Egypt, Pakistan na Turkey ili waongee na Iran yaishe si ajabu America atatangaza vita vimeisha bada ya siku hizi mbili kama Iran atakubali.ππ Wanajificha kama panya road imfikie Echolima1
Maneno hayo hata kwenye kanga yapo tu hivyo hatushangai kuona mipasho hiyo!!Huyo Echolima1 kachanganyikiwa leo kuna habari za uhakika Trump alisema akitoka ruhusa ya weekend na akirudi Jumatatu Iran asipo funguwa Hormuz atapiga visima vyo oil na infrastructure zote za Iran na Iran akamjibu sisi hatukufunga Hormuz ipo wazi lakini ukileta ujinga wako sisi tutaifunga kabisa na tutapiga Energy zote zilizopo Asia sio Gulf states na Israel tu hapo kachanganyikiwa. Trump nasikia anaomba wayamalize chini kwa chini kwa kutumia nchi kama Oman, Egypt, Pakistan na Turkey ili waongee na Iran yaishe si ajabu America atatangaza vita vimeisha bada ya siku hizi mbili kama Iran atakubali.
Israel kusikia vile yeye ndio anajipanga akapige energy infrastructure za Iran ili America abaki kwenye vita anaogopa akibaki peke yake Iran atammaliza kabisa
Kuhusu huyo Echolima1 leo Israel kakiri hawana uwezo wa kuzivunja silaha za Hezbullah afu huyo msafisha vyoo anatuambia wanaimaliza Hezbullah hahaha
View: https://youtu.be/vwx_conK-_I?si=NVIJIZRqByeEUvSx
We endelea kusafisha vyoo tu Hezbullah ni kiboko ya taifa teule la wajinga. Pelekeni mkazike hao na wengine kwenye hospital za vilemaManeno hayo hata kwenye kanga yapo tu hivyo hatushangai kuona mipasho hiyo!!
Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai
Post from Middle East Eye
US Senator Chris Murphy has suggested that US Defense Secretary Pete Hegseth is firing experienced generals because they are warning "his Iran war plans are ...youtube.com
Iran kamatilia hapo hapa USA hatarudi tena kucheza na wewe
Leo Iran wameangusha ndege 5 ya kwanza F15E ya pili A10 ya tatu Helicopter black hawk na nne F16 na ya tano drone tena Iran wameichukua nzima kabisa imeangukia kwenye bahari hizi ndio habari za leoKazee nakaonea uruma Umri wake sio wa mikiki mikiki ya kijeshi tena kwa watu wahuni na Jeuri kama Iranian !!!
ukimwangalia tu Trump utagundua kachoka na Vita na kachoka zaidi kupokea taarifa za Vitaπ€ π€