Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA).
Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo mbalimbali ambapo Waziri Aweso ameeleza kuwa rasmi anaweka Kambi jijini Dar Es Salaam.