NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Eti bomba la maji linapita sehemu lakini mtu aliyeko zaidi ya mita 60 haruhusiwi kuungiwa.Hii haijakaa sawa Mheshimiwa.
Najua wewe ni mchapakazi mzuri hii Wizara unaitendea haki kabisa Mungu akujalie pia unamsaidia sana Rais kwenye utendaji wako wa kazi.
Naomba ingilia hili suala hapa Nyegezi-Malimbe