Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA.

Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro.

Wagonjwa ni wengi na Hali zao ni mbaya baada ya kutumia maji yanayoaminika yana sumu,
 
Back
Top Bottom