Magu angekula kichwa juu kwa ju, asubuhi yake kungekua na mtu anaapishwa tayari.
Kwa Double Standard za Bongo angeweza kupandishwa Cheo...Angekua Tanzania angetumbuliwa akiwa bado anganiππ
Hii COVID imeharibu Mishe za watu sana. Hizi virtual meetings ndiyo habari ya mjini na yajayo yanafurahisha. Unaweza kuomba likizo boss aka kupa na assignment ukaifanye nyumbani. COVID 19 ni mwanaharamu.
Zile seminar tulizokuwa tunapewa per diem sikuhizi unapewa study day day unasikilizia nyumbani.Shuhudia sasa Waafrika wengine wa hizi Serikali haramu watakavyofagilia kusafiri nje kwa kudai virtual meeting haikatazi kusafiri kwenda kwenye Nchi husika ambako mkutano ulikuwa ufanyike. ππ
Zile seminar tulizokuwa tunapewa per diem sikuhizi unapewa study day day unasikilizia nyumbani.
Nimejikuta nacheka peke yangu.... DahhhππππAfrika ni kichwa cha wendawazimu kinachotembea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malawi ya Kusini haina tofauti na malawi ya kaskazini[emoji1241]