Waziri wa Malawi asafiri kwenda Uswizi kuhudhuria kikao alichotakiwa kushiriki kidigitali, azungumza mbele ya ukumbi usio na watu

Waziri wa Malawi asafiri kwenda Uswizi kuhudhuria kikao alichotakiwa kushiriki kidigitali, azungumza mbele ya ukumbi usio na watu

Magu angekula kichwa juu kwa ju, asubuhi yake kungekua na mtu anaapishwa tayari.

Magu ana mapungufu yake machache ila ana mazuri mengi sana..

Mpuuzi kama huyu waziri angetumbuliwa juu kwa juu na kesi ya uhujumu uchumi angepewa . Na mtu aliyemlipa per diem nae angetumbuliwa na pesa wangezitapika
 
Kama mwili wake ni safi hauna maradhi kama ukimwi presha kisukari pumu CORONA ataisikia kwa mbali sana
 
Shuhudia sasa Waafrika wengine wa hizi Serikali haramu watakavyofagilia kusafiri nje kwa kudai virtual meeting haikatazi kusafiri kwenda kwenye Nchi husika ambako mkutano ulikuwa ufanyike. 😂😂

Hii COVID imeharibu Mishe za watu sana. Hizi virtual meetings ndiyo habari ya mjini na yajayo yanafurahisha. Unaweza kuomba likizo boss aka kupa na assignment ukaifanye nyumbani. COVID 19 ni mwanaharamu.
 
Shuhudia sasa Waafrika wengine wa hizi Serikali haramu watakavyofagilia kusafiri nje kwa kudai virtual meeting haikatazi kusafiri kwenda kwenye Nchi husika ambako mkutano ulikuwa ufanyike. 😂😂
Zile seminar tulizokuwa tunapewa per diem sikuhizi unapewa study day day unasikilizia nyumbani.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Sipati picha kabudi atakavyotumbua mimacho humo ukumbini akijikuta yuko yeye tu na mimacho yake
 
Chizi mpya town [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
It's funny! Ameona isiwe kesi acha akwee pipa kidogo hii Covid inaharibu mipango ya watu! Hamna safari safari +per diems😀! Na akirudi akae quarantine kwanza
 
Back
Top Bottom