- Thread starter
- #21
Hao in groups ni issue ya survival....searching chakula. Ni kweli ukilima karibu na mipaka au buffer zones na ndani ni kiangazi watavuka tu..Huenda unapoint..na Hawa tembo wanaokuja kula mahindi kwenye Mashamba nao wamefukuzwa na wenzao...coz naona pia watu kuishi karibu na mbuga kunaharibu ecosystem kitu kinachowafanya hao wanyama wasake nahitaji yao kwenye makazi ya watu
Huyu nilimjibu issues zake za mmoja mmoja ambazo zilikuwa specific cases..
[/QUOTE]
Umeshindwa kabisa kujibu hojja kwa weledi zaidi umeweka ubishi mbele. Eleza kitaalam mnyama yupi kafukuzwa kwenye kundi na anakuwa na sifa zipi? Na hao waliouliwa ovyo ovyo hapo juuu hawakuwa na madhara kwa Binadamu ila TAWA ndio walifika kuwadhuru nk kipi wataalam walikiona kwao mpaka kuwararua kwa Risasi nyingi. Weka nondo za Kisayansi hatutaki porojo na ngojera zako ulizoharisha hapo juu.