Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Ndugu Waziri Salam,
Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa.
Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania.
Ni video zenye komenti nyingi sana za wageni, yani hadi kufika comment 20k, na wote wanaona kama hao sio watu ni wanyama.
Wakishauliza wapi, jibu ni Tanzania.
Hiyo account inaitwa Our traditional tribe. Mbaya sana, hakuna cha kujivunia ni kudhalilisha hiyo jamii, lakini zaidi kwa watu ambao hawajawahi fika Africa, wanaweza dhani watanzania tunaishi hivi.
Hata kama ni utamaduni, mbona jamii ya Kimasai inarecodiwa kwa mazuri?
Tunaweza control kipi cha ku record na kipi si cha ku record.
Mheshimiwa sana ndugu Waziri hapana, hili lipo kwenye uwezo wako.