Usichojua ni kuwa hata Putin mwenyewe, achilia Mbali watu wake wa karibu, matajiri, usalama wa Russia vina mkono wa Israel. Jiulize tu suala jepesi, kina Ayatollah wakiwa wanagongwa alikuwa bafuni anaoga ama! na nijamaa zake kama unavyoamyinishwa.Unachomaansha ni kuwa Israel inaweza kuiangusha Urusi ila nchi za ulaya na USA zinashindwa.
Kweli Africa sio masikini kwa bahati mbaya.
Hizi ndio zile akili zakuamini Rwanda anaweza kuidondosha Tanzania akitaka.
Kwani hawezi kwa hii Tanzania ya sasa ilivyo hata watu hawana uzalendo tena ni rahisi sana, ukubwa wa nchi sio kitu angalia Congo DR ilivyo kubwa.Unachomaansha ni kuwa Israel inaweza kuiangusha Urusi ila nchi za ulaya na USA zinashindwa.
Kweli Africa sio masikini kwa bahati mbaya.
Hizi ndio zile akili zakuamini Rwanda anaweza kuidondosha Tanzania akitaka.
Nani kakuambia nina maanisha hivyo unavyoamini wewe?Unachomaansha ni kuwa Israel inaweza kuiangusha Urusi ila nchi za ulaya na USA zinashindwa.
Kweli Africa sio masikini kwa bahati mbaya.
Hizi ndio zile akili zakuamini Rwanda anaweza kuidondosha Tanzania akitaka.
Aliesambaza hizi dini duniani ana akili sana.Usichojua ni kuwa hata Putin mwenyewe, achilia Mbali watu wake wa karibu, matajiri, usalama wa Russia vina mkono wa Israel. Jiulize tu suala jepesi, kina Ayatollah wakiwa wanagongwa alikuwa bafuni anaoga ama! na nijamaa zake kama unavyoamyinishwa.
Imagine hata mpinzani wake Zelensky naye asili hake ni Uyahudini na ndio maana yupo salama, sio kwamba Putin alishindwa kumfanya ya kina Ayatollah. Israel Indio taifa Teule, wapo Iran sehemu nyeti, Germany sehemu nyeti, England ndio usiseme, imagine juzi tu Kanye west amezuiwa kuingia Uingereza kupiga show kisa kauli zake tata kwa mayahudi, mpaka waziri mkuu alilitolea ufafanuzi suala hilo.
Hao jamaa ni shida, yaani wamejiteua kuitawala dunia, hutaki kojoa ukajiue mbele.
Endelea kujidanganya na hadithi za abunuasi.Kwani hawezi kwa hii Tanzania ya sasa ilivyo hata watu hawana uzalendo tena ni rahisi sana, ukubwa wa nchi sio kitu angalia Congo DR ilivyo kubwa.
Ila unamaanisha nini.Nani kakuambia nina maanisha hivyo unavyoamini wewe?
Tumia akili zako vizuri Mungu alikupa bure kabisa!!
Wewe unajibu tu kichawa lakini ukweli ni kwamba hii Tanzania ya leo sio ile ya miaka ya sabini na themanini kama unabisha endelea tu kubisha lakini huo ndio ukweli.Endelea kujidanganya na hadithi za abunuasi.
Kama unaamini hii nchi ni nyepesi namna hiyo kiulinzi basi nenda kwenye kapori kokote pale hapa nchini halafu tangaza kuwa nyie ni waasi mnataka kuipindua nchi.
Omba msaada kwa nchi unayoona inatumudu hapa east and central Africa.
Uone huo udhaifu unaousema halafu uje uhadithie vizuri.
Hizi ngonjera za siasa za nchini hapa zisikudanganye.
Ccm na maovu kadhaa wanayotukosea wananchi lakini kwenye suala la ulinzi na usalama wa mipaka yetu na ndani ya nchi ni mkubwa sana.
Mengine ni matatizo ambayo hata marekani yapo.
Sasa kwanini hao waasi au wapigania dini wameshindwa kusumbua hii nchi unayoona dhaifu.Wewe unajibu tu kichawa lakini ukweli ni kwamba hii Tanzania ya leo sio ile ya miaka ya sabini na themanini kama unabisha endelea tu kubisha lakini huo ndio ukweli.
Baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa ccm ilitumia hiyo nafasi kupeleka siasa kwenye nyanja zote za maisha na kuharibu kabisa ufanisi wa taasisi nyingi katika nchi.
Anayepinga hili atapinga tu kwa sababu za kisiasa, uchawa au ushabiki maandazi.
Amani yoyote unayoiona katika nchi hii imeletwa na wananchi wa nchi hii na hakuna chama, serikali au chombo chochote cha ulinzi kinachoweza kudai kwamba kinahusika kuleta amani hiyo.Sasa kwanini hao waasi au wapigania dini wameshindwa kusumbua hii nchi unayoona dhaifu.
Unalala kwako unakoroma hausikii hata bomu ujue kuna watu wanapambana usiku na mchana ili wewe ulale hadi ukorome.
Siasa zisikufanye ukachukia kila kitu cha nchi yako.
Endelea kulemazwa na siasa.Amani yoyote unayoiona katika nchi hii imeletwa na wananchi wa nchi hii na hakuna chama, serikali au chombo chochote cha ulinzi kinachoweza kudai kwamba kinahusika kuleta amani hiyo.
Shida iliyopo sasa ni chama cha ccm ndicho kitakacho sababisha imani hii itoweke na hakuna chombo chochote cha ulinzi kitakachozuia hali hiyo kwani hata nchi zenye machafuko nazo zina vyombo hivyo.
Wewe acha ushamba, mipaka ya nchi hailindwi na ccm bali ni vyombo vya usalama vinavyolipwa kwa kodi za wananchi ndivyo vinavyofanya kazi hiyo.Endelea kulemazwa na siasa.
Hakuna serikali duniani inayowaridhisha wananchi wao wote.
Ccm ina mapungufu yake lakini kwenye suala lakulinda mipaka ya nchi sina baya nao.