Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haipendezi. Alishindwa kujizuia kutumia simu kwenye mazishi? Aidha, serikali ingetuma mtu mwingine kuiwakilisha, sio mkuu wa mapolisi. Au ni kwa sababu wizara yake inahusika katika kufanya uchunguzi?
Kama anauliza vipi wiki hii mnamnyakua nani tena? Muda wote yupo na simu