Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

Ukumbi mzuri ni ule ambao aliyekuzaa kila mara anaenda Kulala ( Kushindiliwa vyema Kibaiolojia ) huko na Hawara yake Mkuu nje ya Babaako Mzazi. Muulize Yeye anaujua vyema tu kuliko Mimi sawa?
 
Utapigwa bann we mlugaluga. Ukipigwa tutapata wapi kituko kingine cha kutuchekesha?
Kwahiyo hao Moderators wa JamiiForums ndiyo wamekutuma uwe Unanichokoza na Kunidhihaki Kutwa GENTAMYCINE hapa JamiiForums ili Nihamaki na nianze Kukujibu hivi kisha Uniripoti Kwao ili wanipige BAN?

Kwahiyo umeambiwa GENTAMYCINE bila kuwepo hapa JamiiForums siwezi Kuishi au kufanya Mambo yangu mengine? Unavyosema kila mara kuwa nitapigwa BAN kwa lugha Nyepesi unataka Kuniaminisha kuwa huenda Wewe ukawa ni Moderator mwenye Chuki zako binafsi na Mimi na ID hi hivyo unatumia Mamlaka yako Kunichokoza na Kunikomoa kwa kunipiga BAN mata kwa mara?

Nimekuvumilia na Nimewavumilieni vya kutosha na nilikuonya mapema tu hadi Kukuripoti kwa Uongozi wa JamiiForums lakini naona wako Kimya na kama vile ama wanakuogopa au nao ID yangu hii wanaichukia hivyo wanayataka haya Majibu yangu Kwako ili Nia yao ya kunipiga BAN itimie.

Nipo tayari kwa hiyo BAN ya Kutafutiwa.

Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo
 
Watu wa vijijini mnapenda kusikiliza redio.
Mbona hata kwenye taarifa ya habari ya ITV Waziri kaoneshwa akiwaomba Matajiri warudishe hizo speed Gavana ndani ya miezi sita!! njia za kupashana habari siku hizi ziko nyingi tu, inategemea na wwe uko na chombo gani cha kupata habari!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani hiyo' Nguruwe Pori' itakuelewa Mkuu?
 
Hata mimi nilimshangaa sana huyu Waziri.

Mtu kachomoa Spidi gavana halafu unampa miezi 6 kuirejesha.

Kuna wakati CCM wanakosa umakini kabisa!
Ndg yangu Sasa hivi Matajiri ndiyo wenye Nchi,Mama hataki kuwauzi wawekezaji wasije wakakimbia Kama kipindi kile Cha Mwendazake ndiyo maana lazima wabembelezwe!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada acha ujuaji usio na kichwa wala miguu Spidi gavana Madukani hazipo mlitaka Waziri atoe agizo lisilotekelezeka? Spidi gavana ni special order haiko full time Madukani kama nyanya gengeni .Kuagiza nje ya nchi ni process inachukua muda wenye mabasi hawatengenezi hizo spidi gavana Wafanyabiashara ndio huagiza wakiridhika kuwa soko lipo

Pili kuna gharama hazitolewi bure.Huwezi kumwambia kesho ufunge hiyo pesa unampa wewe huyo mwenye basi?
Issue hapa kwa nini wazitowe bila kibali au bila taarifa maalumu!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tukijiuliza swali la kwamba ni kwa nini gari zitengenezwe na dashboard yenye kusoma hadi spidi 120/160/180 200+?
Tunapata jibu kwamba gari yenyewe 'binafsi' ina uwezo wa kwenda spidi kubwa. Ila kitakachozuia isikimbie sana ni sababu tu za kimiundombinu na mazingira.

Kwa hiyo badala ya kuhangaika na spidi[ni nzuri kwa kuanzia tu] tuwekeze kwenye kuyafanya na mazingira yetu yasapoti spidi kubwa. Tusirudishane enzi za kutoka DAR-SONGEA Au DAR-MWANZA ziwe safari za masiku.

Bila kusahau service za magari, matairi imara na watu kufunga mikanda na baba lao BARABARA safi/bora.

Spidi gavana zenyewe usumbufu tu yaani gari inaanza tu kutembea tayari kameshaanza makelele. Au sawa tuzirudishe ila ile spidi yake minimum iongezwe kidogo iendane na mahitaji bhana.

Hivi mfano tukisema na misafara ya viongozi nayo itembee kwa spidi zinazoruhusiwa kisheria watakubali? Hebu litafutwe suluhisho litakalojumuisha vyote spidi na usalama pia.

I do not appeal to more speed or no speed. I only appeal to sense.
 
Watu wa vijijini mnapenda kusikiliza redio.
Mkuu mbona unaonekana kama vile una chuki binafsi na mleta mada?
Hii mada ni issue ya uhai wa watu,jadili mada na sio kumjadili mleta mada,

Ni ushauri tu,ukitaka uchukue na usipoutaka uache.
 
Mleta mada acha ujuaji usio na kichwa wala miguu Spidi gavana Madukani hazipo mlitaka Waziri atoe agizo lisilotekelezeka? Spidi gavana ni special order haiko full time Madukani kama nyanya gengeni .Kuagiza nje ya nchi ni process inachukua muda wenye mabasi hawatengenezi hizo spidi gavana Wafanyabiashara ndio huagiza wakiridhika kuwa soko lipo

Pili kuna gharama hazitolewi bure.Huwezi kumwambia kesho ufunge hiyo pesa unampa wewe huyo mwenye basi?
Kwani kigezo cha kufungwa speed gavana kwenye mabasi ni lazima? Kama ni lazima ni wakati gani inatakiwa kufungwa? Kabla halijathibitishwa kubeba abiria?

Au ni hiari halafu ndo linafuta tamko la waziri?
 
Mkuu mbona unaonekana kama vile una chuki binafsi na mleta mada?
Hii mada ni issue ya uhai wa watu,jadili mada na sio kumjadili mleta mada,

Ni ushauri tu,ukitaka uchukue na usipoutaka uache.
Katumwa huyo Kwangu ili kunitafutia BAN za Makusudi ili ID hii pendwa na Maarufu isiwepo hapa.

Na anatumia Multiple ID's katika Kulifanikisha hilo huku Kukiwa na Kikundi kingine cha 'Kimkakati' cha Kunishambulia, Kunichafua na Kuudhoofisha na Kufunika Umaarufu wangu.

Kuna Watu wana Chuki na Mimi utadhani labda nimelala na Mama zao Wazazi au Mimi ndiyo nafanya wasipate Pesa, wasipande Vyeo huko waliko au wasilipwe Mishahara yao.

Hivi Mkuu unaweza ukawa Unamchukia Mtu ( GENTAMYCINE ) tena kila Siku unahubiri hivyo lakini Kutwa tu uingiapo JamiiForums unamsoma na kumfuatilia kuanzia Mada zake au 'Posts' zake?

Sihitajiki JamiiForums kwani nawakera na nawaudhi Watu fulani kutokana na Mitazamo yangu Mseto kwa Watawala, Wanasiasa, Klabu fulani na Kada mbalimbali na Watu fulani fulani kutokana na Mitazamo yangu yenye kutumia zaidi Critical ( Logical ) Thinking katika Kuikabili na Kuijadili.

Nimevumilia tu vya kutosha Upuuzi hiu.
 
🤣🤣🤣🤣 Fake
 
Mada yako umeelezea kwa ufasaha Ingawa sijaunga mkono maneno makali ya udhalilishaji wa mtu binafsi
Inasikitisha Lakini Ndio uhalisia inakuwa kama watu wanapigwa na usahaulifu kila ajali kubwa ya barabarani inapotokea hawana kiu ya kusuluhisha tatizo hili sugu.
Ili uchumi ukue na jamii Ipate maendeleo sababu nyingine ni usalama wa barabarani.

Adhabu zikiwa kali ajali zitapungua , Mtu akisababisha ajali kizembe yenye kuleta vifo afutiwe leseni maisha na kifungo hana tofauti na jambazi Lakini sio kufutiwa leseni miezi michache arudi tena barabara kuuwa watu .
 
Katumwa huyo Kwangu ili kunitafutia BAN za Makusudi ili ID hii pendwa na Maarufu isiwepo hapa.

Na anatumia Multiple ID's katika Kulifanikisha hilo huku Kukiwa na Kikundi kingine cha 'Kimkakati' cha Kunishambulia, Kunichafua na Kuudhoofisha na Kufunika Umaarufu wangu.

Kuna Watu wana Chuki na Mimi utadhani labda nimelala na Mama zao Wazazi au Mimi ndiyo nafanya wasipate Pesa, wasipande Vye huko waliko au wasilipwe Mishahara yao.

Hivi Mkuu unaweza ukawa Unamchukia Mtu ( GENTAMYCINE ) tena kila Siku unahubiri hivyo lakini Kutwa tu uingiapo JamiiForums unamsoma na kumfuatilia kuanzia Mada zake au 'Posts' zake?

Sihitajiki JamiiForums kwani nawakera na nawaudhi Watu fulani kutokana na Mitazamo yangu Mseto kwa Watawala, Wanasiasa, Klabu fulani na Kada mbalimbali na Watu fulani fulani kutokana na Mitazamo yangu yenye kutumia zaidi Critical ( Logical ) Thinking katika Kuikabili na Kuijadili.

Nimevumilia tu vya kutosha Upuuzi hiu.
Huyo jamaa anaona mtu kuishi Dar au kua umefika Dar basi ndio maisha umesha yapatia,point yake kile thd ni kukusakama kuhusu Dar! hiyo pia ni aina ya racism,watu wapo mbele mbona but hawamtambii mtu? yaani unamjadili mtu kuhusu kufika Dar au kutokufika? serious kweli? unaacha kujadili thd inayohusu uhai wa binadamu unamshambulia mleta mada kufika Dar au kuishi Kijijini? haya ni maajabu aisee.
 
hii ligi haikuhusu mkuu. Just mind ur own businesses.

Don't take it seriously. I think ur smarter than that.

Tuache tuenjoy vituko vya Popoma.

# don't reply me plz
 
Back
Top Bottom