LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Utapigwa bann we mlugaluga. Ukipigwa tutapata wapi kituko kingine cha kutuchekesha?Aliyekuzaa amepona lini huo 'Utaahira 'wake mpaka Kukuzaa 'Taahira Mwandamizi' Wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapigwa bann we mlugaluga. Ukipigwa tutapata wapi kituko kingine cha kutuchekesha?Aliyekuzaa amepona lini huo 'Utaahira 'wake mpaka Kukuzaa 'Taahira Mwandamizi' Wewe?
Kuliko 'anayekupalange' Ghettoni 24/7?Ndezi wa mwisho wewe
Ukumbi mzuri ni ule ambao aliyekuzaa kila mara anaenda Kulala ( Kushindiliwa vyema Kibaiolojia ) huko na Hawara yake Mkuu nje ya Babaako Mzazi. Muulize Yeye anaujua vyema tu kuliko Mimi sawa?
Kwahiyo hao Moderators wa JamiiForums ndiyo wamekutuma uwe Unanichokoza na Kunidhihaki Kutwa GENTAMYCINE hapa JamiiForums ili Nihamaki na nianze Kukujibu hivi kisha Uniripoti Kwao ili wanipige BAN?Utapigwa bann we mlugaluga. Ukipigwa tutapata wapi kituko kingine cha kutuchekesha?
Mbona hata kwenye taarifa ya habari ya ITV Waziri kaoneshwa akiwaomba Matajiri warudishe hizo speed Gavana ndani ya miezi sita!! njia za kupashana habari siku hizi ziko nyingi tu, inategemea na wwe uko na chombo gani cha kupata habari!!Watu wa vijijini mnapenda kusikiliza redio.
Unadhani hiyo' Nguruwe Pori' itakuelewa Mkuu?Mbona hata kwenye taarifa ya habari ya ITV Waziri kaoneshwa akiwaomba Matajiri warudishe hizo speed Gavana ndani ya miezi sita!! njia za kupashana habari siku hizi ziko nyingi tu, inategemea na wwe uko na chombo gani cha kupata habari!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndg yangu Sasa hivi Matajiri ndiyo wenye Nchi,Mama hataki kuwauzi wawekezaji wasije wakakimbia Kama kipindi kile Cha Mwendazake ndiyo maana lazima wabembelezwe!!Hata mimi nilimshangaa sana huyu Waziri.
Mtu kachomoa Spidi gavana halafu unampa miezi 6 kuirejesha.
Kuna wakati CCM wanakosa umakini kabisa!
Issue hapa kwa nini wazitowe bila kibali au bila taarifa maalumu!?Mleta mada acha ujuaji usio na kichwa wala miguu Spidi gavana Madukani hazipo mlitaka Waziri atoe agizo lisilotekelezeka? Spidi gavana ni special order haiko full time Madukani kama nyanya gengeni .Kuagiza nje ya nchi ni process inachukua muda wenye mabasi hawatengenezi hizo spidi gavana Wafanyabiashara ndio huagiza wakiridhika kuwa soko lipo
Pili kuna gharama hazitolewi bure.Huwezi kumwambia kesho ufunge hiyo pesa unampa wewe huyo mwenye basi?
Mkuu mbona unaonekana kama vile una chuki binafsi na mleta mada?Watu wa vijijini mnapenda kusikiliza redio.
Mkuu,hivi kuna kitu kina gharama kuliko uhai wa binadamu?Pili kuna gharama hazitolewi bure.Huwezi kumwambia kesho ufunge hiyo pesa unampa wewe huyo mwenye basi?
Kwani kigezo cha kufungwa speed gavana kwenye mabasi ni lazima? Kama ni lazima ni wakati gani inatakiwa kufungwa? Kabla halijathibitishwa kubeba abiria?Mleta mada acha ujuaji usio na kichwa wala miguu Spidi gavana Madukani hazipo mlitaka Waziri atoe agizo lisilotekelezeka? Spidi gavana ni special order haiko full time Madukani kama nyanya gengeni .Kuagiza nje ya nchi ni process inachukua muda wenye mabasi hawatengenezi hizo spidi gavana Wafanyabiashara ndio huagiza wakiridhika kuwa soko lipo
Pili kuna gharama hazitolewi bure.Huwezi kumwambia kesho ufunge hiyo pesa unampa wewe huyo mwenye basi?
Katumwa huyo Kwangu ili kunitafutia BAN za Makusudi ili ID hii pendwa na Maarufu isiwepo hapa.Mkuu mbona unaonekana kama vile una chuki binafsi na mleta mada?
Hii mada ni issue ya uhai wa watu,jadili mada na sio kumjadili mleta mada,
Ni ushauri tu,ukitaka uchukue na usipoutaka uache.
Siwakumbuki wote... ila kila awamu walikuwepo.Akina nani? Wataje
🤣🤣🤣🤣 FakeKatumwa huyo Kwangu ili kunitafutia BAN za Makusudi ili ID hii pendwa na Maarufu isiwepo hapa.
Na anatumia Multiple ID's katika Kulifanikisha hilo huku Kukiwa na Kikundi kingine cha 'Kimkakati' cha Kunishambulia, Kunichafua na Kuudhoofisha na Kufunika Umaarufu wangu.
Kuna Watu wana Chuki na Mimi utadhani labda nimelala na Mama zao Wazazi au Mimi ndiyo nafanya wasipate Pesa, wasipande Vyeo huko waliko au wasilipwe Mishahara yao.
Hivi Mkuu unaweza ukawa Unamchukia Mtu ( GENTAMYCINE ) tena kila Siku unahubiri hivyo lakini Kutwa tu uingiapo JamiiForums unamsoma na kumfuatilia kuanzia Mada zake au 'Posts' zake?
Sihitajiki JamiiForums kwani nawakera na nawaudhi Watu fulani kutokana na Mitazamo yangu Mseto kwa Watawala, Wanasiasa, Klabu fulani na Kada mbalimbali na Watu fulani fulani kutokana na Mitazamo yangu yenye kutumia zaidi Critical ( Logical ) Thinking katika Kuikabili na Kuijadili.
Nimevumilia tu vya kutosha Upuuzi hiu.
Damn Fool.🤣🤣🤣🤣 Fake
Huyo jamaa anaona mtu kuishi Dar au kua umefika Dar basi ndio maisha umesha yapatia,point yake kile thd ni kukusakama kuhusu Dar! hiyo pia ni aina ya racism,watu wapo mbele mbona but hawamtambii mtu? yaani unamjadili mtu kuhusu kufika Dar au kutokufika? serious kweli? unaacha kujadili thd inayohusu uhai wa binadamu unamshambulia mleta mada kufika Dar au kuishi Kijijini? haya ni maajabu aisee.Katumwa huyo Kwangu ili kunitafutia BAN za Makusudi ili ID hii pendwa na Maarufu isiwepo hapa.
Na anatumia Multiple ID's katika Kulifanikisha hilo huku Kukiwa na Kikundi kingine cha 'Kimkakati' cha Kunishambulia, Kunichafua na Kuudhoofisha na Kufunika Umaarufu wangu.
Kuna Watu wana Chuki na Mimi utadhani labda nimelala na Mama zao Wazazi au Mimi ndiyo nafanya wasipate Pesa, wasipande Vye huko waliko au wasilipwe Mishahara yao.
Hivi Mkuu unaweza ukawa Unamchukia Mtu ( GENTAMYCINE ) tena kila Siku unahubiri hivyo lakini Kutwa tu uingiapo JamiiForums unamsoma na kumfuatilia kuanzia Mada zake au 'Posts' zake?
Sihitajiki JamiiForums kwani nawakera na nawaudhi Watu fulani kutokana na Mitazamo yangu Mseto kwa Watawala, Wanasiasa, Klabu fulani na Kada mbalimbali na Watu fulani fulani kutokana na Mitazamo yangu yenye kutumia zaidi Critical ( Logical ) Thinking katika Kuikabili na Kuijadili.
Nimevumilia tu vya kutosha Upuuzi hiu.
🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣Damn Fool.
hii ligi haikuhusu mkuu. Just mind ur own businesses.Huyo jamaa anaona mtu kuishi Dar au kua umefika Dar basi ndio maisha umesha yapatia,point yake kile thd ni kukusakama kuhusu Dar! hiyo pia ni aina ya racism,watu wapo mbele mbona but hawamtambii mtu? yaani unamjadili mtu kuhusu kufika Dar au kutokufika? serious kweli? unaacha kujadili thd inayohusu uhai wa binadamu unamshambulia mleta mada kufika Dar au kuishi Kijijini? haya ni maajabu aisee.