Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

hii ligi haikuhusu mkuu. Just mind ur own businesses.

Don't take it seriously. I think ur smarter than that.

Tuache tuenjoy vituko vya Popoma.

# don't reply me plz
Mkuu with due respect,hii thd ni serious thd inahusu uhai wa binadamu,najua JF kuna jokes but kwenye thd kama hii sidhani kama ni jambo la busara,ndio maana nikakwambia kuwa "Ni ushauri tu,ukikupendeza uchukue,na ukiona haukufai achana nao" But kumbuka kua ajali haichagui mtu,kabila,rangi ya ngozi wala eneo analoishi.
 
Yes wapo serious...wameanza ukaguzi wa stika za nenda kwa usalama kwenye vyombo vya moto. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
K
 
Sitaki kusema Uhalisia wangu wa Kimaisha ( ambao Yeye ndiyo Kutwa ) anahangaika kutaka Kuujua na kumuonyesha kuwa sipo hivyo anavyonidhania Yeye au anavyodanganywa ( alivyodanganywa ) nimemtajia Mtu ambaye ananijua vyema, anaijua Familia yangu na mpaka nilipokulia ambaye ni JamiiForums Founder na Mtani wangu wa Kihaya Maxence Melo bila kumsahau na Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi na Jirani yangu mkubwa katika Mji mwingine wa Familia Mbezi Beach aitwae Bujibuji Simba Nyanaume na wengine Wachache ambao kwa Unyeti wa Nafasi zao nawahifadhi ila ID hii wanaijua na wananijua Physically.

Wengine hatujakuzwa katika Tabia za Kujitapa, Kujionyesha au Kujisifia hovyo ( sometimes ) Kiuwongo na Kweli hapa JamiiForums kama ambavyo Watu wengi wanapenda Kufanya hivyo bali tumekuzwa katika kuishi Maisha ya Kawaida na Kuridhika na kilichopo au na hali uliyonayo.

Na siyo kwamba nachukia Maisha ya Vijijini ( tena ndiyo huwa nayapenda ) kwani yananifanya niweze kujua zaidi Changamoto za Kwetu huko Butuguri ( Wilayani Butiama ) kwa Wazanaki ili basi na Mimi huko mbeleni Mwenyezi Mungu akina Baraka za Kiuchumi niweze Kuwasaidia na Kuwainua Ndugu zangu Wapendwa wa huko na hata wa Mkoa mzima wa Mara ( Musoma ) ambako ndiyo Asili yangu.

Wa Kijijini ( Mshamba ) nimeshamaliza Kufafanua nawasubiri wa Mjini Masaki na Oysterbay na Matajiri wa JamiiForums nzima waje na waendelee Kunidhihaki ili wafurahishe Nafsi zao huku Wakijidanganya na Wakidanganyana pia.

Natural Charm yangu inawatesa Wengi.
 
hii ligi haikuhusu mkuu. Just mind ur own businesses.

Don't take it seriously. I think ur smarter than that.

Tuache tuenjoy vituko vya Popoma.

# don't reply me plz
Unanipiga BAN Saa ngapi? Wajibu Members.
 
Katumwa huyo ili Lengo lao Kuu litimie.
 
🀣🀣🀣🀣🀣 unataka nikupige KABANG?

Me naitaka Firdaus mkuu

Ushindwe Na ulegee
Unanipiga BAN Saa ngapi? Fanya haraka.
 
Kwahiyo ulitaka nisikilize Unavyokazwa au?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ila nimekuonea bure Tu wewe unaishi kijijini unastahili kusikiliza redio.

But on a serious note hivi Redio One wanasikika Bunda?
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ila nimekuonea bure Tu wewe unaishi kijijini unastahili kusikiliza redio.

But on a serious note hivi Redio One wanasikika Bunda?
Inasikika zaidi Makalioni mwako hasa pale ukitokwa na Kinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…