Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

Kama unafuata sheria na utaratibu stress inatoka wapi?
Barabara Haina mvukaji, ni jumapili Kuna kibao Cha watoto WA shule, dereva anaendesha Kwa taadhari Kwa speed 55kpm, polisi anazuka na kukukamata na kujenga Mazingira ya kupata chochote huoni dereva anaongezewa stress!?
 
Hauwezi kukamatwa kama hauna kosa.

Ukiona una stress maana yake umevunja sheria.

Askari hawezi kukukamata kama hauna kosa.
 
Sitaki kusema Uhalisia wangu wa Kimaisha ( ambao Yeye ndiyo Kutwa ) anahangaika kutaka Kuujua na kumuonyesha kuwa sipo hivyo anavyonidhania Yeye au anavyodanganywa ( alivyodanganywa ) nimemtajia Mtu ambaye ananijua vyema, anaijua Familia yangu na mpaka nilipokulia ambaye ni JamiiForums Founder na Mtani wangu wa Kihaya Maxence Melo bila kumsahau na Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi na Jirani yangu mkubwa katika Mji mwingine wa Familia Mbezi Beach aitwae Bujibuji Simba Nyanaume na wengine Wachache ambao kwa Unyeti wa Nafasi zao nawahifadhi ila ID hii wanaijua na wananijua Physically.

Wengine hatujakuzwa katika Tabia za Kujitapa, Kujionyesha au Kujisifia hovyo ( sometimes ) Kiuwongo na Kweli hapa JamiiForums kama ambavyo Watu wengi wanapenda Kufanya hivyo bali tumekuzwa katika kuishi Maisha ya Kawaida na Kuridhika na kilichopo au na hali uliyonayo.

Na siyo kwamba nachukia Maisha ya Vijijini ( tena ndiyo huwa nayapenda ) kwani yananifanya niweze kujua zaidi Changamoto za Kwetu huko Butuguri ( Wilayani Butiama ) kwa Wazanaki ili basi na Mimi huko mbeleni Mwenyezi Mungu akina Baraka za Kiuchumi niweze Kuwasaidia na Kuwainua Ndugu zangu Wapendwa wa huko na hata wa Mkoa mzima wa Mara ( Musoma ) ambako ndiyo Asili yangu.

Wa Kijijini ( Mshamba ) nimeshamaliza Kufafanua nawasubiri wa Mjini Masaki na Oysterbay na Matajiri wa JamiiForums nzima waje na waendelee Kunidhihaki ili wafurahishe Nafsi zao huku Wakijidanganya na Wakidanganyana pia.

Natural Charm yangu inawatesa Wengi.
Eti Mbezi Beach. Mbezi Beach ya Tarime sio? . Umezaliwa Bunda vijijini, umekulia Bunda vijijini na unaishi Bunda vijijini. Kama kuna jiji kubwa ulilowahi kufika basi itakuwa ni Mwanza mjini ambako nako hujakaa Zaidi ya mwezi mmoja...

Uhalisia wako unanisaidia nn mm ?

U live in denial mkuu. Yani hutaki kuukubali ukweli wako kwamba wewe ni wa kijijini?

Something must be missing in ur head
 
Kuna wakati mwingine unaweza hata kutamani yule mzee aliyekua anakata mauno majukwaani kuna baadhi ya vitu aliviweza ila kwasababu ndio watu wenyewe hawa wa michongo endeleeni kuvumilia tu , nyama mtazikuta chini kunyweni kwanza mtori
Kama Ile kupigwa marufuku upigaji WA speed torch Kwa nyuma ya Gari umepunguza sana wigo WA rushwa!! Sasa imetokea tabia ya kupigwa picha kibao Cha kumalizia 50kph na kulazimishia na kuchukulia kama ushahidi WA anayeingia kwenye 50kph, ila kibao Cha kuingia kinakuwa hakionekani, Sasa wanalazimisha uwe kwenye 50kph kabla hujaingia ndani ya eneo takiwa, hii ipo Kilimanjaro Mwanga, na njia yote chalinze segera, Ila Mwanga ni tatizo kubwa@DC
 
Hamad Masauni kwao ni visiwani, huku bara hata mkaisha wote hana hasara.​

Tangu lini waziri wa mambo ya ndani akatoka visiwani kama hii sio shida imeingia Tanganyika?​

Kumbe wewe hujui kuwa wizara hii ni moja ya mihimili ya muungano. Mawaziri wengi toka zamani walikuwa ni Wazanzibar kama Moyo, Mwinyi, Natepe, Salmin, Mapuri, Vuai na wengineo.
 
Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya miezi Sita (6) Kurejesha hizo 'Spidi Gavana' badala ya kuwapa Siku Saba (7) tu zijazo.

Kwahiyo Waziri Masauni kwa Lugha nyepesi hapa ni kama vile Umeshatoa ruhusa ya Watanzania Kuuwawa (Kuuliwa) na Madereva wa Mabasi ya Mikoani kwa Miezi Sita (6) ijayo na baada ya hapo ndipo mtawaonea Huruma kwa kuanza Kuwajali kwa Ustawi wao wawapo Safarini.

Hivi nyie Mawaziri baadhi yenu Vichwani mwenu (hasa Kiakili) mpo sawa sawa kweli au labda mnahitaji Tiba ya haraka Hospitali za Mirembe (Dodoma) na Lutindi (Tanga) kutokana na Kauli zenu na Maamuzi yenu yasiyovumilika kutokana na kuwa ni ya 'Kiudhaifu' zaidi?

Kuna Waziri Mwenzako wa Maji Jumaa Aweso nae Wiki Mbili nyuma alimsifia kweli kweli Boss Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja mbele ya Rais Samia huko Chalinze huku akimnadi kuwa ndiyo Mfanyakazi Bora wa mwaka na Jana tu katika Ripoti ya CAG Taasisi yake imekutwa na 'Madudu' ya 'Ubadhirifu' ya karibia Tsh Milioni 800 kwa Kuwadhulumu Watanzania hasa katika Usomaji Hewa wa Mita zao za Maji huko Majumbani mwao.

Waziri Masauni labda nikuambie tu Wewe pamoja na Boss wako Mkuu na Watendaji Wenzako (hasa Mawaziri) kuwa Watanzania tunajitahidi mno Kumsahau Hayati Rais Dkt. Magufuli, ila kwa huu Upuuzi wenu, Maamuzi yenu na Utendaji wenu wa hovyo hovyo ndiyo mnatufanya Watanzania (akina GENTAMYCINE) kila mara tuwe si tunamkumbuka bali pia tumlilie sana Rais Hayati Dkt. Magufuli kutokana na Utendaji wake uliokuwa ni wa Kutukuka na wa Kishujaa zaidi.

Haya Madereva wa Mabasi ya Mikoani na Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani jitahidini sasa mtuue kwa Ajali za Mwendo Kasi kwani tayari Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameshawapeni ruhusa ya Miezi Sita (6) na hata wale ambao bado Mabasi yenu yana Spidi Gavana mlizofunga mnaweza sasa mkazing'oa tu ili mtuue kwa Mwendo Kasi ndani ya Miezi Sita (6) ijayo na baada ya hapo (mkishashiba Damu zetu na Viungo vyetu) mtazirejesha kama mlivyoagizwa na Waziri.

Halafu akina GENTAMYCINE na Watanzania wengine baadhi wanaojua Kufikiri na Kuona mbali (kwa Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu) wakiwakosoa kwa nia ya Kuwajenga na kuwapeni Fursa ya Kujitathmini mnatuchukia, mnatuona ni Wapinzani, tunatumwa na Mabeberu, tuna Chuki Binafsi nanyi na mpaka mnatamani tupotee tu kabisa duniani.

Kwa wale mnaopenda kujua Maamuzi haya ya 'Kipuuzi' ya Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni nimeyasikia wapi ni kwamba nimeyasikia hivi punde tu kutoka katika Kipindi kizuri cha Nipashe kutoka Radio One ambapo Mtangazaji wa Zamu leo ( Alhamisi ) alikuwa ni Mtangazaji Mahiri na Makini Maulid Kambaya.
Hata mimi nilisikia hilo jana.
Ati Waziri wa Mambo ya ndani anawaomba wamiliki wa mabasi....." tafazwali rudisheni yakhe zile sphidhi gavana atii, ndani ya miezi sita......."
Nikacheka tu, nikajiuliza is this guy serious?
 
Waziri ameangalia chanzo Cha ajali, Gari inagongana uso Kwa uso kukwepa pikipiki speed governor inahusika!? Poor over taking speed governor inahusika !? Lorry linakosa break mtelemko mkali speed governor inahusika!?
Tumuache waziri ashirikiane na wataalamu WA wizara
 
Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya miezi Sita (6) Kurejesha hizo 'Spidi Gavana' badala ya kuwapa Siku Saba (7) tu zijazo.

Kwahiyo Waziri Masauni kwa Lugha nyepesi hapa ni kama vile Umeshatoa ruhusa ya Watanzania Kuuwawa (Kuuliwa) na Madereva wa Mabasi ya Mikoani kwa Miezi Sita (6) ijayo na baada ya hapo ndipo mtawaonea Huruma kwa kuanza Kuwajali kwa Ustawi wao wawapo Safarini.

Hivi nyie Mawaziri baadhi yenu Vichwani mwenu (hasa Kiakili) mpo sawa sawa kweli au labda mnahitaji Tiba ya haraka Hospitali za Mirembe (Dodoma) na Lutindi (Tanga) kutokana na Kauli zenu na Maamuzi yenu yasiyovumilika kutokana na kuwa ni ya 'Kiudhaifu' zaidi?

Kuna Waziri Mwenzako wa Maji Jumaa Aweso nae Wiki Mbili nyuma alimsifia kweli kweli Boss Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja mbele ya Rais Samia huko Chalinze huku akimnadi kuwa ndiyo Mfanyakazi Bora wa mwaka na Jana tu katika Ripoti ya CAG Taasisi yake imekutwa na 'Madudu' ya 'Ubadhirifu' ya karibia Tsh Milioni 800 kwa Kuwadhulumu Watanzania hasa katika Usomaji Hewa wa Mita zao za Maji huko Majumbani mwao.

Waziri Masauni labda nikuambie tu Wewe pamoja na Boss wako Mkuu na Watendaji Wenzako (hasa Mawaziri) kuwa Watanzania tunajitahidi mno Kumsahau Hayati Rais Dkt. Magufuli, ila kwa huu Upuuzi wenu, Maamuzi yenu na Utendaji wenu wa hovyo hovyo ndiyo mnatufanya Watanzania (akina GENTAMYCINE) kila mara tuwe si tunamkumbuka bali pia tumlilie sana Rais Hayati Dkt. Magufuli kutokana na Utendaji wake uliokuwa ni wa Kutukuka na wa Kishujaa zaidi.

Haya Madereva wa Mabasi ya Mikoani na Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani jitahidini sasa mtuue kwa Ajali za Mwendo Kasi kwani tayari Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameshawapeni ruhusa ya Miezi Sita (6) na hata wale ambao bado Mabasi yenu yana Spidi Gavana mlizofunga mnaweza sasa mkazing'oa tu ili mtuue kwa Mwendo Kasi ndani ya Miezi Sita (6) ijayo na baada ya hapo (mkishashiba Damu zetu na Viungo vyetu) mtazirejesha kama mlivyoagizwa na Waziri.

Halafu akina GENTAMYCINE na Watanzania wengine baadhi wanaojua Kufikiri na Kuona mbali (kwa Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu) wakiwakosoa kwa nia ya Kuwajenga na kuwapeni Fursa ya Kujitathmini mnatuchukia, mnatuona ni Wapinzani, tunatumwa na Mabeberu, tuna Chuki Binafsi nanyi na mpaka mnatamani tupotee tu kabisa duniani.

Kwa wale mnaopenda kujua Maamuzi haya ya 'Kipuuzi' ya Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni nimeyasikia wapi ni kwamba nimeyasikia hivi punde tu kutoka katika Kipindi kizuri cha Nipashe kutoka Radio One ambapo Mtangazaji wa Zamu leo ( Alhamisi ) alikuwa ni Mtangazaji Mahiri na Makini Maulid Kambaya.
kwa tanzania hakuna basi linalotumia speed govenor,kilichofanyika kwenye mabasi wamefunga tu vts ambazo zinasoma speed ya gari inapokuwa safarini
 
Back
Top Bottom