Waziri wa Mambo ya Nje China: “Mkakati wa Indo Pasifiki” wa Marekani utashindwa tu

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki.

Bw. Wang ameyasema hayo kwa wanahabari baada ya mkutano wake na mwenzake wa Pakistan Bilawal Bhutto Zardari ambaye yupo ziarani huko Guangzhou. Amebainisha kuwa mkakati huo umeondoka kwenye dhamira yake, na sasa sio tu unajaribu kufuta jina la “Asia-Pasifiki” na ufanisi mzuri wa ushirikiano wa kikanda, bali pia unajaribu kufuta mafanikio na kasi ya maendeleo ya amani yaliyotokana na juhudi za pamoja za nchi za eneo hilo katika miongo iliyopita.

Wang pia amesema watu wa Asia-Pasifiki hadi leo wanakumbuka migogoro na makabiliano yaliyosababishwa na ukandamizaji, na wanataka utulivu wa kitaifa na maisha ya furaha, huku nchi za ndani ya eneo hilo zikiweza kuishi pamoja kwa masikilizano na kutafuta ushirikiano wa kunufaishana.
 
"One belt one road" ndio mapango mzima
 
Kitu alichofanya China Cha undumilakuwili kwa Russia kitamponza Sana. Na hapo awe makini wote tunajua mwenye uwezo wa kumpiga Mrusi kwa mapigo mazito ni Russia tu na mwenye uwezo wa kumpiga Russia kwa mapigo mazito ni Marekani tu. Marekani ataipiga China ili kuzuia Hilo akubali tu yupo kwenye ligi nene aweke ukaribu wa kijeshi na Russia
 
Ndugu unamchukuliaje china🤔?
 
Alafu ulitaka china amfanyie nini Russia ? Je Russia aliomba msaada wowote wa kijeshi china na china ikakataa? Au china kamsaliti Russia kwa namna ipi maana mafuta ya Russia china ananunua gas ya Russia china ananunua makaa ya mawe ya Russia china ananunua mfumo wakibank wa union pay china amemfadhuli Russia katika kipindi hiki Cha vikwazo anacho pitia vikwazo vyote vilivyowekwa china alivipinga na kupendekesa njia ya diplomacy umoja wa mataifa china hakupiga kura ya kupinga operation ya kijeshi ya Russia Ukraine au ulitaka china ifanye nini iliuone inamuunga mkono Russia 🤔?
Kitu alichofanya China Cha undumilakuwili kwa Russia kitamponza Sana. Na hapo awe makini wote tunajua mwenye uwezo wa kumpiga Mrusi kwa mapigo mazito ni Russia tu na mwenye uwezo wa kumpiga Russia kwa mapigo mazito ni Marekani tu. Marekani ataipiga China ili kuzuia Hilo akubali tu yupo kwenye ligi nene aweke ukaribu wa kijeshi na Russia
 
Alafu ulitaka china amfanyie nini Russia ? Je Russia aliomba msaada wowote wa kijeshi china na china ikakataa? Au china kamsaliti Russia kwa namna ipi maana mafuta ya Russia china ananunua gas ya Russia china ananunua makaa ya mawe ya Russia china ananunua mfumo wakibank wa union pay china amemfadhuli Russia katika kipindi hiki Cha vikwazo anacho pitia vikwazo vyote vilivyowekwa china alivipinga na kupendekesa njia ya diplomacy umoja wa mataifa china hakupiga kura ya kupinga operation ya kijeshi ya Russia Ukraine au ulitaka china ifanye nini iliuone inamuunga mkono Russia [emoji848]?
Ingepiga kura ya wazi ya kuunga mkono operation kama walivyofanya zile Nchi tano na Eritrea ikiwemo,kukaa kwake kimya ndiyo usaliti wenyewe kwa rafiki yake Russia.
 
Nimeshakwisha andika hapo nchi inapendekeza njia ya diplomacy haipaswi kujifunga na upande wowote ndio maana aliabstain kwenye kupiga kura na akapendekeza njia ya diplomacy itumike

Utajaribu kwa kila namna kujaribu kuupamba usaliti wa China kwa mshirika wake mkuu lakini ukweli utabaki,china kamnafikia Russia katika hili.Hayo mengine uliyosema ni vile China anafaidika nayo ndiyo maana akaside nae.Pale UN ndipo palikuwa mahali sahihi pa kuonyesha msimamo wake na siyo kukaa kimya akitaka asiwaudhi US na Western Europe maana kule ndipo anapategemea kama soko lake kuu.Russia na China wana urafiki wa mashaka.
 
Kwa hio ulitaka na yeye china akapigane au sio . UnakumbukaU.S.A kabla ya Vita ya Ukraine na URUSI Biden alisema nini endapo Russia itaivamia Ukraine 🤔?
 
Kitu alichofanya China Cha undumilakuwili kwa Russia kitamponza Sana. Na hapo awe makini wote tunajua mwenye uwezo wa kumpiga Mrusi kwa mapigo mazito ni Russia tu na mwenye uwezo wa kumpiga Russia kwa mapigo mazito ni Marekani tu. Marekani ataipiga China ili kuzuia Hilo akubali tu yupo kwenye ligi nene aweke ukaribu wa kijeshi na Russia
Ni unafki mkubwa alofanya china, ile vita wakati inaanza kati ya ukraine na russia, china akatoa msaada wa dollar kadhaa kwenda ukraine.
 
Ingepiga kura ya wazi ya kuunga mkono operation kama walivyofanya zile Nchi tano na Eritrea ikiwemo,kukaa kwake kimya ndiyo usaliti wenyewe kwa rafiki yake Russia.
Hapo ndo utaamini china hana kitu mbele ya mabeberu.
 
Muoga sana mchina, muoga saaana.
Mimi ni PRO-RUSSIA kabisa naipenda Russia kwa Sababu ni wanaume toka enzi za LENIN, STALIN, NIKITA na Sasa PUTIN hawa watu hawajawahi kuniangusha kimsimamo. Hawa ndio wamebeba roho za warusi yaani ni vita na mapambano tu.

Tukija kwa wenzetu watoto wa MAO ZE DONG ni waoga kwelikwwli wanachofanya Sasa ni kufanya "damage control" kupitia vi-drama vyao kwamba walikuwa wanaweza kupiga jeshi zima la wa japan wakiwa watatu, huwa nacheka Sana kwa Sababu ni sehemu ya burudani.

Sijui kwa nini watu wanaona China ina nguvu kijeshi. China haina nguvu ya kupambana hata na japan wakti mwenzake Russia alitaka kupelekewa chokochoko na Japan juu ya visiwa vya Kuril wakaambiwa fanyeni mchezo Japan nzima tunaizamisha baharini Japan kimya
 
Tukumbushe mkuu
Aliapa kumlinda Ukraine na pia alisema endapo Russia ataivamia Ukraine Basi boma la gas la nord midstream 1 alitakuwepo kwenye ardhi ya Ukraine hayo yametimia🤔? Usidhani china au urusi ni Kama msumbiji au Congo unification ya china[PRC] na Taiwan[ROC ] itafanyika na hakuna kitu U.S.A atafanya Kama china anvyojenga visiwa artificial na U.S.A hakuna kitu anafanya zaidi ya kuropoka ropoka Kama malaya Malaya tu
 
Kwa hio ulitaka na yeye china akapigane au sio . UnakumbukaU.S.A kabla ya Vita ya Ukraine na URUSI Biden alisema nini endapo Russia itaivamia Ukraine [emoji848]?
China alipaswa kupiga kura ya wazi kuside na Russia period.Eritrea na N.Korea walipiga kura ya wazi kwani wamekwenda kupigana?
 
Ni
Mimi ni PRO-RUSSIA kabisa naipenda Russia kwa Sababu ni wanaume toka enzi za LENIN, STALIN, NIKITA na Sasa PUTIN hawa watu hawajawahi kuniangusha kimsimamo. Hawa ndio wamebeba roho za warusi yaani ni vita na mapambano tu.

Tukija kwa wenzetu watoto wa MAO ZE DONG ni waoga kwelikwwli wanachofanya Sasa ni kufanya "damage control" kupitia vi-drama vyao kwamba walikuwa wanaweza kupiga jeshi zima la wa japan wakiwa watatu, huwa nacheka Sana kwa Sababu ni sehemu ya burudani.

Sijui kwa nini watu wanaona China ina nguvu kijeshi. China haina nguvu ya kupambana hata na japan wakti mwenzake Russia alitaka kupelekewa chokochoko na Japan juu ya visiwa vya Kuril wakaambiwa fanyeni mchezo Japan nzima tunaizamisha baharini Japan kimya
Ni Wewe pekee ndio unaichukulia china poa mmulize U.S.A kuhusu Korean war Nani alimpa support Korea mpaka U.S.A akakimbia Kama sio iyo china ya Mao Zedong waliopeleka jeshi Korea nchi pekee iliyopewa jukumu la kuilinda kwa silaha na kwa wanajeshi toka utawala wa Mao ni North Korea siku U.S.A avamie Kama utaona china atakaa kimya
 
China alipaswa kupiga kura ya wazi kuside na Russia period.Eritrea na N.Korea walipiga kura ya wazi kwani wamekwenda kupigana?
Kwa hio hao waliopiga kura ya wazi wameisadia nini Russia kushinda China na India ambao hawajapiga kura ya wazi🤔?
 
Back
Top Bottom