Uchaguzi 2020 Waziri wa Mambo ya Nje Sweden: Misingi ya kidemokrasia lazima ilindwe

Uchaguzi 2020 Waziri wa Mambo ya Nje Sweden: Misingi ya kidemokrasia lazima ilindwe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20201102_210853.jpg


Anaandika...

Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are concerning. Fundamental principles of democracy and the rule of law must be protected....
 
Nimeipenda hii response kwenye post ya huyo Waziri wa Sweden🤗🤗🤗🤗
"Europeans love Africa so much"

Yaani hadi wazungu wenyewe watatshangaa tusipojielewa kwamba wanachotaka kwetu ni rasilimali tuu

Asomae na aelewe🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Nimemkumbuka rafiki yangu mmoja hapa JF
Alinitania kidogo pembeni, baada ya uchaguzi Watanzania tumemaliza zoezi la " ... sending T on #" sikumuelewa

Akafafanua:
Uchaguzi huu lilikuwa zoezi la "..sending Tanzania on Hashtag".

Popote ulipo rafiki nimecheka sana.
 
Oya rudini kufaanya kazi tujenge nchi.. hela rahisi rahisi hamna siku hizi uchaguzi ushaishaa
 
Huu uchaguzi unatakiwa ufutwe haya mambo ya kuendelea kulazimisha kwa masilahi ya mtu mmoja tu,yataligalim taifa na wote tutaumia
 
Wadau wa Maendeleo wote wamewageuka Serikali ya CCM Mpya, mbinyo huu lazima utawachanganya CCM Mpya na kujutia ulafi wa kutaka kuhodhi mamlaka za maamuzi kwa 100% wakitumia njia haramu.
 
Mshangao ni kupungua kwa wabunge wa upinzani kwa kiasi kikubwa badala ya kuongezeka.Lakini hii siri ya ushindi wa ajabu ipo siku itavuja. Yaana wamefanya kosa kubwa sana la kiufundi kujipatia ushindi mnono,wangejipa ushindi mwembamba wasingeshitukiwa. Mikakati mingine huwa ya hovyo sana,ilipangwa bila kuangalia effect yake itakuaje. Yaani hapakuwa na fundi,ukila na asiyeona usimshike mkono atajua unamkombea chakula.Haya sasa wanaoitwa mabeberu wamepata hoja ya kusema.
 
We know whom you wanted to win and for what reasons but it wont work and you can keep your change
Why is it always when a western planted candidate fails to win for you then that country isn't democratic.. we don't want your democracy,,,hahahaha we are awake now,,, you have killed so many of our leaders in the pretence of democracy while your issue is our SWEET NATURAL RESOURCES Mhhh,,, From now on we have decided to protect our resources so you can keep your democracy
 
Back
Top Bottom